Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu nyingine? Tunajua kuwa tumeupata huu Ushindi kwa kelele nyingi juu ya waamuzi kutoka ndani na nje ya uwanja...
Mtunzi maarufu wa riwaya za kufikirika mwanakwenda James Hadley Chase ana novel yake moja inaitwa The guilty are afraid yaani mwenye hatia ana hofu.
Kuna raha fulani unapofanya ubakaji. Lakini baada ya kumaliza kuna hali fulani ya kusutwa na nafsi. Inatisha sana sana. Na m'bakaji pamoja na...
Jane Chimuyaka, raia wa Nchini Malawi aliyekuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Moyo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kuanzisha matibabu ya moyo nchini kusaidia wagonjwa wa moyo waliopo Tanzania na nchi za jirani.
Jane aligundulika kuwa na matatizo ya moyo kupitia kambi maalum ya...
Maskini ni kama mchawi tu maana hupenda sana habari mbaya.
Tena ukitaka afurahi zaidi asikie kuwa tajiri kafilisika, Boss kashushwa cheo. Hata wenyewe maskini hawapendani hasa pale maskini mmoja akionekana kupata chochote kitu.
Magufuli aliijua hii kanuni, akaanza kuwasumbua matajiri. Mioyo ya...
Hallo Wakuu, Baridaaa!
Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?
Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
MWANAMKE UKIMWAMBIA NI MZURI NA UKAMPA FURAHA ANAKUWA MZURI.
Anaandika, Robert Heriel
Mastermind.
Ukitaka Mkeo au Mpenzi wako anone, awe pisikali iliyonyooka mpaka Sisi wanaume wengine tumtolee udenda, Kwa maana hiyo ndio Raha ya kuwa na MKE. Sio unakuwa na MKE amekondeana, umemchosha...
Imekua kawaida sasa kuona mashabiki wa simba wakifanyiwa mizaha na viongozi wao kwa kuendesha propaganda ambazo ni wazi nyuma yake kuna viongozi wao. Nasema hivi kwa sababu kwanini wanaozusha hizi propaganda ni vyomba vya habari especially online tvs na baadhi ya wachambuzi wa mpira?
Niwaamshe...
Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia.
Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia.
Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu.
Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu,
Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).
Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.
Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti.
Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi.
Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao.
Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu.
Ndo mana utasikia familia ile...
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti.
Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi.
Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao.
Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu.
Ndo mana utasikia familia ile ipo...
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara.
Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana
Nimefurahi sanaaaaaa
Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ?
Na hapo...
Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake,
Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko.
Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.