Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"

Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA

Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga.

Mamelodi watakula mnara ✋

1710383379917.jpg
 
Kwa maoni inaonekana wanasikitika kwasababu hawatapata upizani wa kutosha kwa yanga,unajua ukijua mpinzani wako ni mdhaifu sana hauwezi kuwa na furaha kwasababu hatakupa changamoto..tukbuke yanga ndio timu iliyoingia robo final kwa point ndogo sana point 8,pia ndio timu iliyoingia robo final kwa kufungwa sana..ndio maana hawa washabaiki wa MAMELODY hawana furaha kukutana na timu dhaifu
 
Hapana mkuu... mean wanaiogopa Yanga
 
Uto wanashindwa kuelewa maana halisi ya hizo comments. Inaonekana Mamelody hawakuridhika na challenge na wamekuwa wakiifuatilia sana Simba na kutamani kukutana nayo .. zile 6-0 za majirani wao, 7-0 za Horoya, 3-0 allizofungwa Kaiser Chiefs, 4-1 za AS Vita, n.k.
 
Uto wanashindwa kuelewa maana halisi ya hizo comments. Inaonekana hawakuridhika na challenge na wamekuwa wakiifuatilia sana Simba na kutamani kukutana nayo .. zile 6-0 za majirani wao, 7-0 za Horoya, 3-0 allizofungwa Kaiser Chiefs, n.k.
Sasa horoya nayo ni timu mkuu
 
Walisema wanaitaka Simba kama ambavyo Yanga walivyokuwa wanasema wanaitaka Mamelodi. Kwani Yanga walivyokuwa wanasema wanaitaka Mamelodi ni kwa kuwa Mamelodi ni mteremko au kwa kuwa itawapa kipimo kbwa? Mamelodi waliitaka Simba 😁
Ukifuatilia hizo comments utaona wanaiogopa yanga
 
Ume
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"

Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA

Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga...
Mamelodi watakula mnara ✋
Umesoma comment zao kwanini wanaitaka simba? Au umenscreen shot na kutuma tu jf?
 
Hamna mahali wameonyesha kuiogopa yanga, They want simba for revenge on j galaxy. kaka soma lugha ya kigeni uelewe
Isome comment ya Ezekiel ya pili kulia "They got massive following and always filling the stadium,we need to be stronger there".
KWA KAULI HII ITOSHE KUSEMA MASHABIKI WANAIHOFIA YANGA.
 
Not yet not so fast
 
Back
Top Bottom