Tafakari_nami
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 779
- 1,514
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI.
Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani.
Nilipo ona hiyo report tuu kwanza Nilicheka kicheko kimoja matata sana alafu nikapigwa na mshangao, yaani duniani siso ni watatu?
Ingekuwa kwa Afrika mashariki hapo sawa ila DUNIANI.
Kwakweli nimebaki na maswali mengi mnoooo sijui walitumia vigezo ganiaana kwangu mimi sidhani kama tuna stahili hata kuingia 20 bora.
Ila sijui kwenu nyie wana jamii forum eti ni Kweli tuna stahili hiyo mafasi ya tatu au tuna pakwa mafutwa kwa chupa ya mgongo.