furaha

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Furaha ya mama ni mtoto kufurahi, ikitokea wazazi wameachana, mtoto analilia kumuona baba lakini baba anaomba penzi ili afanye hivyo, mama atakataa ?

    Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ? Na hapo...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  3. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanachukulia poa suala la Kelele, hii ni kero, NEMC wametukumbusha furaha yako isiwe kero kwa mwingine

    Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko. Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Furaha na Raha havina bei na havinunuliki

    Hello JF!! Katika Maisha mwanadamu aweza kuwa ni mwenye kufurahia ama kufurahishwa, hivyo kwa minajili hio basi Raha na Furaha si vitu ama hali inayoweza kununuliwa ama kununulika kwa namna yoyote ile. Mwenye kukufurahia anakupenda na mwenye kufurahishwa ni mnafiki. Ni hayo tu kwa uchache...
  5. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Mama katangaza mchakato wa katiba mpya; Tanzania yote ina furaha

    Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia. Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Iko wapi amani ya maisha yangu?

    Hope ni wazima Wana JF, Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa. Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
  7. Okrap

    JamiiForums Tanzania Leo nina furaha

    Usiache kufurahi leo. Leo ndiyo yote tuliyo nayo. Kesho ni ahadi. Kama wimbo unavyoenda... "Jana imepita, na kesho inaweza isiwe yako." Maandiko pia yanasema, "Furahini katika Bwana SIKU ZOTE" - Wafilipi 4:4.
  8. Okrap

    JamiiForums Tanzania Furaha yako

    Kuwa na furaha ni uamuzi tu. Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha. Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha. Unawajibika kwa furaha yako. Zipo siku unaweza kuwa na dhiki ila unaweza kuchagua kuwa na furaha ili...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusizuge wana Yanga SC wengi ( 99% ) hawana Furaha na Matokeo ya Marudiano leo

    Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 ) Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo...
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Wanasimba tupo imara sana, tuna hali zaidi na furaha kubwa kusubili match yetu ya marudiano na wydad Casablanca.

    Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba. Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa. Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
  11. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jali hisia za Mwanamke wako na Muishi kwa furaha

    Mwanamke anataka ajisikie unamjali. Yaani unajali hisia zake za upendo kwako. Ila drama zake unaweza kupotezea. Utamuonesha kujali hisia zake kwa kutenga muda kwa ajili yenu. Mkatengeneza kumbukumbu mbali mbali kwa kwenda sehemu tofauti au kucheza pamoja na kufurahi pamoja. Na kumpa mapenzi...
  12. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watukaneni, wakashfuni, wadharauni, wazushieni, wadogosheni mnavyoweza lakini walimu wanaishi kwa furaha zaidi kuliko kundi lolote

    Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache. Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto? Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  16. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

    Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha 1. MAURITIUS 2. LIBYA 3. IVORY COAST 4. SOUTH AFRICA 5. GAMBIA 6. ALGERIA 7. LIBERIA 8...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

    Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani. Orodha kamili hii hapa Nchi 10...
  18. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
Back
Top Bottom