Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu wenyewe.
Kuna wakati hutaambiwa unapendwa kama zamani lkn hii isikufanye ukose furaha na amani katika...
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.
Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo.
Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.
Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu...
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa.
Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho, kijamii, kiakili na kua na furaha zaidi ila sasa hali ni tofauti kabisa.
Mazingira ya ajira na...
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️
1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊
2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️
3. Furaha si kuhusu kuwa...
1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza.
2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu ya...
Rafiki yangu mpendwa,
Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana.
Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni fulani,,lkn pamoja na kuwa kwake home katu hakumsaidia mkewe kazi za nyumbani au kama alifanya basi ni kidogo...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Penye nia pana njia na subira huvuta heri. Hii subira ndio imepelekea wakapata mbunge ambaye hata akiwa Dodoma moyo wake uko singida ila mwili wake uko Dodoma. Mh Ramadhan Ighondo ni mtu ambaye vitendo vyake vinazidi maneno. What a Mp?
Jiimbo la Singida Kaskazini...
Furaha Jacob, ambaye ni mkemia na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuchapisha na kusambaza picha za ngono mtandaoni.
Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili ni Mustapha Kuhenga(28) ambaye ni mtaalamu wa Tehama na...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku.
Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
1. Kufirisika ama kufukuzwa kazi hasa ukiwa 40s na huna assets wala skills za kukupiga jeki.
2. Kupotelewa kwa mtoto ama mzazi (heri mzike mjue kapumzika sehem flan kuliko kupotea)
3. Kesi baada ya kesi yani kushinda mahakamani
Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa.
Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.