Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
Habari za uzima wakuu?
leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri.
Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani amsaidie kutoa begi lake, baada ya muda wakatoka akasema twendeni.

Basi tukatoka tukakuta gari ipo nje nafikiri ni hizi usafiri wa mtandaoni, baada ya kukaa tukaondoka mpaka airport. Tukafika ndani pale nikamuona anaongea na mdada mwingine nafikiri ni rafiki yake.

Mimi nikaendelea kukaa pembeni napitia baadhi ya maoni ya watu wakisema nimeshindwa kumsaidia rafiki yangu aliyeniomba msaada baada ya kuendekeza ushirikina.

Basi nimekaa pale baadae akarudi sista na yule rafiki yake akaniambia passion huyu ni rafiki yangu nilisomaga nae, na akamtambulisha yule rafiki yake kuwa mm mdogo wake na huyu ni mke pamoja na mtoto wake.

Basi tukasalimiana pale. Nikamwambia sista mimi naona tuende sababu muda wa ku check-in ulikuwa bado na ameshapata mtu wakua nae pale, akaniruhusu tukaondoka na mama watoto.

Basi baada ya kutoka nje tukiwa tunatembea kwenda kutafuta dalaladala nikasikia mtu akiniita lakini hii lafudhi ilinipa shida sababu nilijua kabisa huyu si muafrika kwa namna yoyote ile!

Nikageuka kumtazama ni mwalimu wangu wa biblia O-level alikuwa ni mpolish lakini alikulia south africa na alikuwa anafanya kazi kama mwalimu na kutoa misaada mingi sana ila kwenye shule za pentecostel.

Baada ya kumuona nikafurahi sana na tukasalimiana, akaniuliza naelekea wapi kwa sasa, nikamtambulisha kwa mke wangu na mtoto wangu mmoja.

Mwalimu alifurahi sana baada ya kumuonyesha familia ile akambeba mwanangu, akaniambia twendeni nipo na mtu tayari ananisubiri, basi tukaelekea parking tukakuta taxi za airport zile.

Tukatoka pale, huku tukiongea mawili matatu kuhusu maisha na masuala mengine

Huyu mwalimu alikuwa ananipenda sana, maana kwenye vipindi vya biblia shule tulikuwa tunanyukana maswali na alikuwa very open kujibu tofauti na madam wangu mkenya wa biblia yeye mara nyingi tuliishia kugombana na kutolewa kwenye kipindi.

Huyu mwalimu alinipa ushauri ambao kwangu ni the best mpaka sasa namkumbuka.
Nakumbuka baada ya mtihani tukafanya graduation na akaniambia kabla ya kuondoka niwaone wazazi wako niongee nao.

Basi baada ya shuguli ya mahafali kuisha, nilimtafuta mwalimu lakini alikuwa busy sana hivyo ikabidi nimsubiri mpaka mida ya jioni. Akaja nilipokuwa na wazazi.

Akaniambia sasa umemaliza shule unaenda mtaani, umeshakua kijana mtu mzima wa kujua zuri na baya ila naomba nikupe huu ushauri utakufaa sana. Akachukua simu yake akanipa akaniambia mimi si mama ila hapa nitasimama kama mama akimpa mwanae ushauri
Nikacheka na baba akacheka ila mama yangu hakuwa akimuelewa.

Akasema fungua

Mithali 31
Mafundisho ya mama wa mfalme Lemueli
1Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

2Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu?
Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme;
Wala haifai wakuu waseme, Kiko wapi kileo?

5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria,
Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

Katika mistari hio hapo juu akasisitiza moja ni kutowapa wanawake nguvu zako. Hapa ilikuwa anazungumzia mwanaume kuwa na wanawake wengi hupaswi kufanya hivyo, sababu watu wote waliofanikiwa walijizuia kufanya ngono hovyo, akasema wanawake huaribu biashara wanawake hupoteza pesa za wanaume.

La pili mstari huo unasisitiza kuhusu mvinyo, akasema ukifanya hivyo utashindwa kutenda ipasavyo mbele ya jamii, kwani walevi ni watu ambao hawatendi ipasavyo mbele ya jamii na thamani yako itashuka.

Kwa kweli leo nimefurahi sana kumuona mwalimu wangu nikasema nitashare na wana JF, nisikie kuhusu ushauri ambao walishawahi kupewa na mtu mpaka sasa hamsahau.

Nawasilisha.
 
Habari za uzima wakuu?
leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani amsaidie kutoa begi lake, baada ya muda wakatoka akasema twendeni.
Basi tukatoka tukakuta gari ipo nje nafikiri ni hizi usafiri wa mtandaoni, baada ya kukaa tukaondoka mpaka airport. Tukafika ndani pale nikamuona anaongea na mdada mwingine nafikiri ni rafiki yake.mimi nikaendelea kukaa pembeni napitia baadhi ya maoni ya watu wakisema nimeshindwa kumsaidia rafiki yangu aliyeniomba msaada baada ya kuendekeza ushirikina.
Basi nimekaa pale baadae akarudi sista na yule rafiki yake akaniambia passion huyu ni rafiki yangu nilisomaga nae, na akamtambulisha yule rafiki yake kuwa mm mdogo wake na huyu ni mke pamoja na mtoto wake. Basi tukasalimiana pale. Nikamwambia sista mimi naona tuende sababu muda wa ku check-in ulikuwa bado na ameshapata mtu wakua nae pale, akaniruhusu tukaondoka na mama watoto.
Basi baada ya kutoka nje tukiwa tunatembea kwenda kutafuta dalaladala nikasikia mtu akiniita lakini hii lafudhi ilinipa shida sababu nilijua kabisa huyu si muafrika kwa namna yoyote ile!!
Nikageuka kumtazama ni mwalimu wangu wa biblia O-level alikuwa ni mpolish lakini alikulia south africa na alikuwa anafanya kazi kama mwalimu na kutoa misaada mingi sana ila kwenye shule za pentecostel
Baada ya kumuona nikafurahi sana na tukasalimiana, akaniuliza naelekea wapi kwa sasa, nikamtambulisha kwa mke wangu na mtoto wangu mmoja.

Mwalimu alifurahi sana baada ya kumuonyesha familia ile akambeba mwanangu, akaniambia twendeni nipo na mtu tayari ananisubiri, basi tukaelekea parking tukakuta taxi za airport zile.

Tukatoka pale, huku tukiongea mawili matatu kuhusu maisha na masuala mengine

Huyu mwalimu alikuwa ananipenda sana, maana kwenye vipindi vya biblia shule tulikuwa tunanyukana maswali na alikuwa very open kujibu tofauti na madam wangu mkenya wa biblia yeye mara nyingi tuliishia kugombana na kutolewa kwenye kipindi.

Huyu mwalimu alinipa ushauri ambao kwangu ni the best mpaka sasa namkumbuka.
Nakumbuka baada ya mtihani tukafanya graduation na akaniambia kabla ya kuondoka niwaone wazazi wako niongee nao.

Basi baada ya shuguli ya mahafali kuisha, nilimtafuta mwalimu lakini alikuwa busy sana hivyo ikabidi nimsubiri mpaka mida ya jioni. Akaja nilipokuwa na wazazi.

Akaniambia sasa umemaliza shule unaenda mtaani, umeshakua kijana mtu mzima wa kujua zuri na baya ila naomba nikupe huu ushauri utakufaa sana. Akachukua simu yake akanipa akaniambia mimi si mama ila hapa nitasimama kama mama akimpa mwanae ushauri
Nikacheka na baba akacheka ila mama yangu hakuwa akimuelewa.

Akasema fungua

Mithali 31
Mafundisho ya mama wa mfalme Lemueli
1Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

2Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu?
Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme;
Wala haifai wakuu waseme, Kiko wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria,
Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

Katika mistari hio hapo juu akasisitiza moja ni kutowapa wanawake nguvu zako. Hapa ilikuwa anazungumzia mwanaume kuwa na wanawake wengi hupaswi kufanya hivyo, sababu watu wote waliofanikiwa walijizuia kufanya ngono hovyo, akasema wanawake huaribu biashara wanawake hupoteza pesa za wanaume.

La pili mstari huo unasisitiza kuhusu mvinyo, akasema ukifanya hivyo utashindwa kutenda ipasavyo mbele ya jamii, kwani walevi ni watu ambao hawatendi ipasavyo mbele ya jamii na thamani yako itashuka.

Kwa kweli leo nimefurahi sana kumuona mwalimu wangu nikasema nitashare na wana JF, nisikie kuhusu ushauri ambao walishawahi kupewa na mtu mpaka sasa hamsahau.

Nawasilisha.
Nimetoboa kuikwepa pombe ila wanawake nimefeli ila ntajaribu
 
Habari za uzima wakuu?
leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri.
Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani amsaidie kutoa begi lake, baada ya muda wakatoka akasema twendeni.

Basi tukatoka tukakuta gari ipo nje nafikiri ni hizi usafiri wa mtandaoni, baada ya kukaa tukaondoka mpaka airport. Tukafika ndani pale nikamuona anaongea na mdada mwingine nafikiri ni rafiki yake.

Mimi nikaendelea kukaa pembeni napitia baadhi ya maoni ya watu wakisema nimeshindwa kumsaidia rafiki yangu aliyeniomba msaada baada ya kuendekeza ushirikina.

Basi nimekaa pale baadae akarudi sista na yule rafiki yake akaniambia passion huyu ni rafiki yangu nilisomaga nae, na akamtambulisha yule rafiki yake kuwa mm mdogo wake na huyu ni mke pamoja na mtoto wake.

Basi tukasalimiana pale. Nikamwambia sista mimi naona tuende sababu muda wa ku check-in ulikuwa bado na ameshapata mtu wakua nae pale, akaniruhusu tukaondoka na mama watoto.

Basi baada ya kutoka nje tukiwa tunatembea kwenda kutafuta dalaladala nikasikia mtu akiniita lakini hii lafudhi ilinipa shida sababu nilijua kabisa huyu si muafrika kwa namna yoyote ile!

Nikageuka kumtazama ni mwalimu wangu wa biblia O-level alikuwa ni mpolish lakini alikulia south africa na alikuwa anafanya kazi kama mwalimu na kutoa misaada mingi sana ila kwenye shule za pentecostel.

Baada ya kumuona nikafurahi sana na tukasalimiana, akaniuliza naelekea wapi kwa sasa, nikamtambulisha kwa mke wangu na mtoto wangu mmoja.

Mwalimu alifurahi sana baada ya kumuonyesha familia ile akambeba mwanangu, akaniambia twendeni nipo na mtu tayari ananisubiri, basi tukaelekea parking tukakuta taxi za airport zile.

Tukatoka pale, huku tukiongea mawili matatu kuhusu maisha na masuala mengine

Huyu mwalimu alikuwa ananipenda sana, maana kwenye vipindi vya biblia shule tulikuwa tunanyukana maswali na alikuwa very open kujibu tofauti na madam wangu mkenya wa biblia yeye mara nyingi tuliishia kugombana na kutolewa kwenye kipindi.

Huyu mwalimu alinipa ushauri ambao kwangu ni the best mpaka sasa namkumbuka.
Nakumbuka baada ya mtihani tukafanya graduation na akaniambia kabla ya kuondoka niwaone wazazi wako niongee nao.

Basi baada ya shuguli ya mahafali kuisha, nilimtafuta mwalimu lakini alikuwa busy sana hivyo ikabidi nimsubiri mpaka mida ya jioni. Akaja nilipokuwa na wazazi.

Akaniambia sasa umemaliza shule unaenda mtaani, umeshakua kijana mtu mzima wa kujua zuri na baya ila naomba nikupe huu ushauri utakufaa sana. Akachukua simu yake akanipa akaniambia mimi si mama ila hapa nitasimama kama mama akimpa mwanae ushauri
Nikacheka na baba akacheka ila mama yangu hakuwa akimuelewa.

Akasema fungua

Mithali 31
Mafundisho ya mama wa mfalme Lemueli
1Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

2Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu?
Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme;
Wala haifai wakuu waseme, Kiko wapi kileo?

5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria,
Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.

Katika mistari hio hapo juu akasisitiza moja ni kutowapa wanawake nguvu zako. Hapa ilikuwa anazungumzia mwanaume kuwa na wanawake wengi hupaswi kufanya hivyo, sababu watu wote waliofanikiwa walijizuia kufanya ngono hovyo, akasema wanawake huaribu biashara wanawake hupoteza pesa za wanaume.

La pili mstari huo unasisitiza kuhusu mvinyo, akasema ukifanya hivyo utashindwa kutenda ipasavyo mbele ya jamii, kwani walevi ni watu ambao hawatendi ipasavyo mbele ya jamii na thamani yako itashuka.

Kwa kweli leo nimefurahi sana kumuona mwalimu wangu nikasema nitashare na wana JF, nisikie kuhusu ushauri ambao walishawahi kupewa na mtu mpaka sasa hamsahau.

Nawasilisha.
Safi sana, Ahsante kwa somo!
 
Labda nikioa ntaliweza hili jaribu la pekee sema wanawake wa kuoa ndo hawaonekani
Wanawake wakuoa wapo tele.
sema sisi wanaume tunataka wenye matako makubwa na asifanane na babu yake!

Ila wanawake wazuri wakuoa mbona wapo ndugu
 
Wanawake wengi wa kuolewa wamezalisha na mabishoo na kukachwa
Huenda ikawa sahihi.

Na wanawake wengi hawapo tayari kwa ajili ya ndoa, ila wanapenda tendo la sherehe na sio ndoa.

Ndio maana malalamiko ya kuvunjika kwa ndoa yanaongezeka.
 
Back
Top Bottom