Leo ni siku ya furaha duniani. Je wewe unaiazimishaje siku ya leo?

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
HAMJAMBO WADAU

Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?

Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale unapopata changamoto za maisha au unafurahije pale unapoona mambo yanaenda sawa kama ulivyotarajia

Je, unayo FURAHA?

SHIRIKI HAPA KUTUELEZEA FURAHA ULIYONAYO

Jokes hazitakiwi jamani ni kufurahi tu hapa karibuni
naomba kama huna cha kukoment hapa pita kimya
usiondoe furaha za wenzio acha wenzio wajielezee furaha walizonazo

Wasalaam
Ladyf
 
Binafsi sikujua kama Leo ni siku hii
1.huwa nafurahi napomtembelea mama nikiwa na zawadi hope Leo nitaenda nikiwa na zawadi kidogo
2.Team yangu ya netball imeingia final Jiji la Ilala so Nina furaha as a coach
3.Huwa nafurahi nikiendesha pikipiki yangu I feel blessed a lot vile upepo unapuliza mwili
4.As a teacher nikipata hela yoyote (remedial ,test,tour n.k)najisikia furaha
5.Mpenzi anaponitembelea huwa najisikia furaha
NB:
Changamoto za maisha eg
Kupanda kwa gharama za maisha
Kukosa ada
Kumechangia sna kuleta simanzi
ULE MCHELE TUGAIWE
 
HAMJAMBO WADAU

Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?

Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale unapopata changamoto za maisha au unafurahije pale unapoona mambo yanaenda sawa kama ulivyotarajia

Je, unayo FURAHA?

SHIRIKI HAPA KUTUELEZEA FURAHA ULIYONAYO

Jokes hazitakiwi jamani ni kufurahi tu hapa karibuni

Wasalaam
Ladyfurahia
Nakumbuka siku za nyuma ulikuwa unatoka na mnyakyusa mwenzio Bujibuji Simba Nyamaume huku mkijifanya walokole
 
HAMJAMBO WADAU

Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?

Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale unapopata changamoto za maisha au unafurahije pale unapoona mambo yanaenda sawa kama ulivyotarajia

Je, unayo FURAHA?

SHIRIKI HAPA KUTUELEZEA FURAHA ULIYONAYO

Jokes hazitakiwi jamani ni kufurahi tu hapa karibuni

Wasalaam
Ladyfurahia
Tuyajenge basi
 
Back
Top Bottom