Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi.
Najiuliza, hivi tatizo ni...
Kuna muda huwa sipendi kupita katika njia ya pale Mwenge kwenye Jiji letu la Dar es Salaam hasa majira ya jioni, maana wale trafiki wanaoongoza magari mitaa hiyo ni wazinguaji hasa.
Kwa ufupi wao ndio wanaosababisha foleni iwe kubwa, bora wangeacha taa zifanye kazi, wanazingua sana.
Ikifika...
Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala.
Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Nimejaribu kutembelea baadhi ya mahospitali, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni msongamano wa wagonjwa, kuwa kwenye foleni ili kupata huduma.
Wengine wanakuwa wametoka majumbani tangu asubuhi na wanamaliza siku nzima wanakuwa hawajapata huduma kwa wakati.
Kwa mtazamo wangu, hii changamoto...
Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi.
Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii.
a
Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini.
Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha.
Madereva wengi nao kichomiiiii
Hali ni mbaya usiku wa Leo kwa wasafiri wanaotumia barabara ya Morogoro, tangu saa mbili jioni hii tuko eneo la mikese gari hazisogei, sijui huko mbele kuanzia Dar hali ikoje
Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini?
Kama nusu saa hivi tukasikia
Wioo wiooo wiooo...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ametangaza kuanguka kwa uchumi wa nchi yake kulikosababisha na bei ya mafuta, umeme na uhaba wa chakula.
Colombo ambao ni mji mkuu wan chi hiyo umeshuhudiwa kuwa na misururu ya watu wakitaka kupata mafuta. Ambapo hadi sasa watu 11 wameripotiwa kufa...
Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo.
Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster.
Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA.
Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
============================
Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover.
Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi?
Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi.
Mwaka huu ulivyo anza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.