foleni

  1. Torch

    Foleni Barabara ya Tabata muda huu

    Wakuu kama unatokea segerea, kimanga, chang'ombe kwenda nje ya tabata kausha kabisa Foleni yake sio ya nchi hii.. Pia kama unatokea nje ya tbt kausha natoka segerea nipo tabata shule zaidi ya masaa 2 sasa
  2. Area 56

    Kumekucha: Foleni kubwa zaonekana kwenye ukataji wa ticket

    Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
  3. Doctor Ngariba

    Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  4. kimsboy

    Foleni ya Buguruni ni janga la kimkoa, serikali mko wapi?

    Hili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa. Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo. Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata...
  5. S

    Traffic Dodoma mnatesa raia kwa Ushamba wa misafara

    Unakuta mnasimamishwa barabarani mnasubiri msafara saa nzima na Zaidi. Je, Hamna mawasiliano na wanaohusika kuendesha misafara ya viongozi? Haiwezekani mtuweke mabarabarani, tunashindwa kuendelea na Majukumu ya kujenga nchi. Yaani mtu mmoja anasimamisha shughuli za watu wengi. Mnajua hasara...
  6. MSAGA SUMU

    Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

    Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa akitaka kutoa hela kwa ajili ya matibabu alijikuta akizimia baada ya kukaa foleni kwa muda mrefu. Katika benki ya NMB iliyopo Buzuruga plaza, yenye madirisha matano ya tellers, ni madirisha mawili tu yalikuwa yakifanya kazi, na katika...
  7. Lycaon pictus

    Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

    Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo. Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu na mtoa chanjo. Tulizungumza mambo kirefu sana. Nilikaa pale kama nusu saa hivi. Mbaya zaidi...
  8. Matope

    Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  9. Kurunzi

    Kituo cha Daladala Bunju B kiondolewe, kinasababisha foleni

    Kituo cha Daladala Bunju B tunaomba kiondolewe mahili kilipo sasa kisogezwe sehumu nyingine. Kituo hicho kinasababisha foleni muda wote, nimepita hapo leo saa 12 asubuhi foleni ni kubwa sana imechukuwa takribani dakika 10 kupita hapo. Pia wafanyabiashara wameingia mpaka eneo la barabara hali...
  10. kaka km

    Ushauri: Serikali ondoeni kituo cha daladala cha Ubungo River Side, kinasababisha foleni isiyo ya lazima

    Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima. Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover. Kutokea Mwenge kwenda...
  11. bestboy

    Kero ya Foleni Mbagala, viongozi mpo wapi?

    Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
  12. Sky Eclat

    Foleni ya Bank jana na leo asubuhi

  13. Mtoto wa Nyerere

    Tunapunguza vipi foleni jijini Dar es Salaam?

    Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa. Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja Na tuna mkakati gani wa kuanza kuzuia majiji mengine...
  14. JABALI LA KARNE

    Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  15. M

    TRA punguzeni foleni zisizo na maana

    T.R.A PUNGUZENI FOLENI ZISIZO NA MAANA Hakuna sababu yoyote ya Maana ya wamiliki wa magari ya biashara kwenda TRA kupanga foleni kwa ajili ya Makadirio ya kodi za Mapato. Magari yote yanaeleweka na kazi zake zinaeleweka. Mfano kwa magari ya Mizigo ya ndani yatozwe kodi kulingana na uwezo wa...
  16. Kasie

    Bagamoyo Road kuna nini leo, mbona foleni kubwa sana?

    Daah, nimevumilia uzalendo unaelekea kunishinda. Tangu saa moja jioni niko Tangi Bovu, magari hayaendi, watu wanatanua na magari yao 😠😠 Kidogo wamegongana halafu wanawasha hazards kuanza marumbano namna ya kutengenezeana magari na nani mwenye makosa.😠😠 Wanazidi kuongeza foleni barabarani...
  17. Elitwege

    Baada ya kuitembelea stendi ya Magufuli iliyotajwa na CAG kuwa itasababisha foleni

    Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni. CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  19. Jidu La Mabambasi

    Foleni ya kufa mtu Lugalo: TANROADS acheni hizo

    Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa. Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja. Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic? Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa. TANROADS tumieni akili ya...
  20. Faana

    Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

    Nimepita muda huu kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
Back
Top Bottom