Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,590
- 22,200
Leo Jumapili nimekumbana na foleni huko Mikese Moro, foleni hiyo iliyofuma magari yatokayo na yaendayo Moro, Mizani ya Mikese nayo ilikuwa katikati ya foleni huku ikiwa imefungwa, na ikumbukwe inahidumia magari kuanzia tani tano na kuendelea.
Magari yalichukuwa zaidi ya saa mbili yakiwa yamesimama bila kujua chanzo cha tatizo! Mimi niliondoka Dar saa sita mchana na nilifika Msamvu Moro saa kumi na mbili na nusu jioni huku tukishangaana kulikoni!