foleni

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imeokoa Trillion 3 za hasara ya foleni Ubungo flyover?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover. Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
  2. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania RITA mlituletea huduma mtandao mkiwa na lengo la kupunguza foleni katika maofisi yenu, huduma hii ya online ni mbovu mno

    Kwanza kabisa ningependa kujua uwepo wenu humu kama mpo au hampo na kama mpo mje mtupe majibu kwanini huduma hii ni mbovu hivi? Ubunifu huu nauunga mkono wa kuji-hudumia au kuomba vyeti Online ila shida inayowakumba waombaji ni kubwa mno kuliko raha wanayopata baadhi. Mwaka huu ulivyo anza...
  3. Torch

    JamiiForums Tanzania Foleni Barabara ya Tabata muda huu

    Wakuu kama unatokea segerea, kimanga, chang'ombe kwenda nje ya tabata kausha kabisa Foleni yake sio ya nchi hii.. Pia kama unatokea nje ya tbt kausha natoka segerea nipo tabata shule zaidi ya masaa 2 sasa
  4. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Foleni kubwa zaonekana kwenye ukataji wa ticket

    Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
  5. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Buguruni ni janga la kimkoa, serikali mko wapi?

    Hili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa. Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo. Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Traffic Dodoma mnatesa raia kwa Ushamba wa misafara

    Unakuta mnasimamishwa barabarani mnasubiri msafara saa nzima na Zaidi. Je, Hamna mawasiliano na wanaohusika kuendesha misafara ya viongozi? Haiwezekani mtuweke mabarabarani, tunashindwa kuendelea na Majukumu ya kujenga nchi. Yaani mtu mmoja anasimamisha shughuli za watu wengi. Mnajua hasara...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

    Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa akitaka kutoa hela kwa ajili ya matibabu alijikuta akizimia baada ya kukaa foleni kwa muda mrefu. Katika benki ya NMB iliyopo Buzuruga plaza, yenye madirisha matano ya tellers, ni madirisha mawili tu yalikuwa yakifanya kazi, na katika...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili kuchanja

    Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo. Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu na mtoa chanjo. Tulizungumza mambo kirefu sana. Nilikaa pale kama nusu saa hivi. Mbaya zaidi...
  10. Matope

    JamiiForums Tanzania Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  11. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Daladala Bunju B kiondolewe, kinasababisha foleni

    Kituo cha Daladala Bunju B tunaomba kiondolewe mahili kilipo sasa kisogezwe sehumu nyingine. Kituo hicho kinasababisha foleni muda wote, nimepita hapo leo saa 12 asubuhi foleni ni kubwa sana imechukuwa takribani dakika 10 kupita hapo. Pia wafanyabiashara wameingia mpaka eneo la barabara hali...
  12. kaka km

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ondoeni kituo cha daladala cha Ubungo River Side, kinasababisha foleni isiyo ya lazima

    Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima. Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover. Kutokea Mwenge kwenda...
  13. bestboy

    JamiiForums Tanzania Kero ya Foleni Mbagala, viongozi mpo wapi?

    Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Bank jana na leo asubuhi

  15. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tunapunguza vipi foleni jijini Dar es Salaam?

    Dar es Salaam ni Jiji lenye harakati nyingi sana ila foleni mjini imekuwa kero ukiunganisha na joto lilipo hapa. Je, tunafanya nini ili kupunguza foleni katika jiji hili maana kupanua barabara pekee sioni kama ni suluhisho la moja kwa moja Na tuna mkakati gani wa kuanza kuzuia majiji mengine...
  16. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TRA punguzeni foleni zisizo na maana

    T.R.A PUNGUZENI FOLENI ZISIZO NA MAANA Hakuna sababu yoyote ya Maana ya wamiliki wa magari ya biashara kwenda TRA kupanga foleni kwa ajili ya Makadirio ya kodi za Mapato. Magari yote yanaeleweka na kazi zake zinaeleweka. Mfano kwa magari ya Mizigo ya ndani yatozwe kodi kulingana na uwezo wa...
  18. Kasie

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Road kuna nini leo, mbona foleni kubwa sana?

    Daah, nimevumilia uzalendo unaelekea kunishinda. Tangu saa moja jioni niko Tangi Bovu, magari hayaendi, watu wanatanua na magari yao 😠😠 Kidogo wamegongana halafu wanawasha hazards kuanza marumbano namna ya kutengenezeana magari na nani mwenye makosa.😠😠 Wanazidi kuongeza foleni barabarani...
  19. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuitembelea stendi ya Magufuli iliyotajwa na CAG kuwa itasababisha foleni

    Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni. CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Back
Top Bottom