foleni

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Video: Foleni ya kujaza Gesi Airport ni balaa, ni zaidi ya nusu kilometa mpaka wamewekewa traffic wao. Mamlaka hazioni huu usumbufu?

    Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe anaongoza magari yanayoenda kujaza gesi kituo kwasababu yana kawaida ya kuziba barabara ya Mwl...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Fly overs Dar hazipunguzi foleni, ni prestige tu

    Kwa miaka miwili nimegundua ni bora tungejenga barbara nyingi za pembezoni, juzi flyovers ni prestige tu hazisolve tatizo la foleni
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni Mbagala Rangi 3-Kongowe

    Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00...
  5. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Foleni Nchini

    Wakuu, Nauliza hivi: Je, viongozi wetu, watendaji na wakuu wa hitifaki za viongozi wanajua kuwa wananchi nao wana mipango, mahitaji na malengo yao yanayotegemea na kubanwa na MUDA (WAKATI)?? Je, wanajua kwamba misafara ya viongozi inawatia wananchi hasara? Iweje wananchi wanasimamishwa kwenye...
  6. Malyenge

    JamiiForums Tanzania Hivi foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta huwa inasababishwa na nini?

    Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele karibu na Bunju hukuti kilichosababisha foleni na barabara ni nyeupe kabisa. Kwa anayejua...
  7. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

    Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa.
  8. Usher-smith MD

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mkoa wa Dar Es Salaam inampango gani na foleni ya Mbagala

    Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara...
  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kutisha Kibaha - Ruvu muda huu

    Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu. Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Foleni ndefu Mlandizi hadi Visiga kisa lorry moja bovu

    Kuna lorry limeharibika nje tu ya kituo cha polisi Mlandizi na kusababisha foleni hadi Visiga, mnaoelekea usawa huo jiandaeni kisaikolojia
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  12. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo wananchi wake hawapotezi muda barabarani hasa katika majiji makubwa kutokana na foleni

    UTANGULIZI. NB: picha kwa hisani ya mtandao Tatizo la foleni ni changamoto kubwa katika maeneo mengi ya mijini...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini. Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni. Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Dar, Posta mvua yaleta foleni

    Wana bodi, huku maeneo ya Posta mvua imenyesha na kuleta foleni kubwa Sana, kutokana na baadhi ya njia kujaa maji. Hivyo basi imeleta adha kwa watu Wanaorudi nyumbani wakitokea kazini, Niko kwenye foleni kwa karibia saa nzima.
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Foleni ya mapenzi haiendi, haisogei, shida iko wapi?

    Hii ni kwa wale ambao 1. Wako single Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli?? Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi? 2. Mlio kwenye mahusiano Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza? Unaona unaolewa soon au hamna kitu? Ushafumania...
  18. Slim5

    JamiiForums Tanzania Foleni Maili 35 barabara ya Morogoro

    Habari wananzengo! Kama bado hujafika Mlandizi kutokea Chalinze, Kuna kamba 1 matata kuanzia kwa kiipofu kuelekea Misugusugu mpk Kibaha. Mm binafsi nimekwama hapa MAILIN35, Gari hazitembei Dk 30 sasa. Anaweza kuchepuka kuhamia Barabara ya zmn ni heri kwake!
  19. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

    Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
Back
Top Bottom