Kwakweli hii stendi kwa ubora ni zaidi ya Airport za nchi fulani fulani hapa Afrika mashariki. Hata Lissu akifika atashangaa shangaa kama alivyoshangaa barabara ya njia nane ya Ubungo - Kibaha alipopita wakati anafanya kampeni.
CAG aliitaja stendi hii kuwa inasababisha foleni kwa hiyo waua...
Download
720
Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video.
====
WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
amavubi
bujibuji
corona
dar es salaam
farkhina
foleni
gfsonwin
jnia
king'asti asprin
kipimo
kulipia
mamydeny
mshanajn madame b
uchovu
utafiti
uwanja wa taifa
wasafiri
washawasha
Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa.
Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja.
Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic?
Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa.
TANROADS tumieni akili ya...
Nimepita muda huu kutoka Kimara kuja mjini kati nimekuta foleni ndefu sana kutoka Kimara ha Shekilango na uvunguni mwa Kijazi Bridge ni vurumai tupu kupishana kwa shida balaa, naamini kuna mashuhuda humu.
Kwa wakazi wa Temeke na maeneo yanayozunguka kumekuwa na shida ya usafiri kwa takribani mwezi sasa.
Ndugu wana jamvi kwa wale wanaoishi wilaya ya Temeke kumekuwa na shida kubwa ya foleni ya magari.
Kwa sasa kukaa barabarani kwa muda wa masaa 3 mpaka 4 ni kitu cha kawaida kabisa.
Tunaomba...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.
Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni...
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo...
Hilo ndio swali langu kwani ninachokiona ni kupunguza kwa foleni katika eneo la mataa pale Ubungo ila mita chache kutoka hapo unakuta na foleni.
Kwa mfano, ukitoka Ubungo Interchange mida ya jioni hasa kuanzia saa moja kasoro usiku mpaka saa mbili, ukifika maeneo ya Mlimani City basi ni mwendo...
Unafikiri ninapozungumzia habari za kuondoka kwenye njia ya foleni na kuhamia mwendokasi ninazungumzia ubinafsi wako na kupenda sifa kwako? Eti umesoma, una cheo, mtaa mzima wanakujua, kampuni yote wewe ndo wewe, na una vyeti kama vyote! Ninazungumzia habari za watoto wako na mamilioni ya kizazi...
NJIA YA FOLENI (POLE POLE NDIYO MWENDO)
Njia ya foleni ni njia ya wazee wa “polepole ndiyo mwendo”, wao huamini kuwa ili kuelekea mafanikio au umilionea inakulazimu kuwa na mvumilivu sana na mwenye subira. Watu hawa wana maarifa na wengi wao wamesoma sana, kiasi kwamba wanashindwa kujichunguza...
Wadau naomba kuuliza hili swali kwa wakazi wa Dar, nataka kufahamu kama kuna improvemet yoyote kwenye kupunguza foleni hapa Dar.
Mimi binafsi naona kama kuna ahueni tofauti na Zamani, maana unaweza kutoka Buza Sigara kwenda Kariakoo na ukatumia Dk 20. Lakini zamani ilikuwa unatumia kama saa...
Lori aina ya fuso limegonga treni kwenye njia yake baada ya mataa ya Chang'ombe, Dar uelekeo wa Magomeni. Ajali hiyo imesababisha foleni barabara ya Nyerere kutoka mataa ya Veta Chang'ombe kuvuka daraja la Mfugale, Tazara. Pia imesababisha foleni Kubwa barabara ya Chang'ombe.
Watumiaji wa...
Kwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi.
Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani.
Ahsanteni in advance.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach.
Nimeshinda na Njaa muda wote huo...
Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari.
Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.