foleni

  1. J

    JamiiForums Hali ya foleni ikoje na hizi mvua, naelekea Mbweni nikitokea Posta!

    Kwa wale ambao mko barabarani muda huu tupeane taarifa ya hali ya foleni tusije kulala barabarani kama juzi. Naomba hali ya barabarani hasa Bagamoyo road na ile Mwai Kibaki hadi kunduchi mtongani. Ahsanteni in advance. Maendeleo hayana vyama!
  2. DISPLEI

    JamiiForums Nini Suluhu ya tatizo la foleni barabarani mvua zikinyesha

    Tatizo la foleni barabarani limekuwa likijirudiarudia kila mvua kubwa zikinyesha. Ukiangalia, chanzo kikubwa ni baadhi ya njia za kuingia na kutoka maeneo mengi hasa mjini kutopitika kutokana na kujaa maji hivyo kufanya magari kutegemea njia chache. Ikishakuwa hivyo kila mtu anakuwa na uharaka...
  3. Shark

    JamiiForums GE2020 Tuliokwama Kwenye Foleni Sababu ya Miundombinu Mibovu tuna Jambo Letu tarehe 28 Oktoba 2020

    Dah, Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara kununua tena mafuta Sababu tu ya kifoleni-mshenzi cha Palm Beach. Nimeshinda na Njaa muda wote huo...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Chang’ombe flyover ni moto wa kuotea mbali, foleni ya gari zinazotoka Kamata na Karume kuwa historia jijini Dar es Salaam

    Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
  5. maroon7

    JamiiForums Kwanini flyover Ubungo haimalizi tatizo la foleni?

    Naipongeza Serikali yetu kwa juhudi kubwa za kutuletea maendeleo ikiwemo kuboresha miundombinu yetu. Leo daraja la juu pia limefunguliwa kwa magari yanayotokea mwenge kuelekea Riverside lakini kinachonishangaza ni kwanini foleni bado ni kubwa sana kwa magari yanayotokea Kimara? Huenda...
  6. mgt software

    JamiiForums Mwenge pawekwe mzunguko, ulipowekwa Ubungo foleni ilikwisha

    Habari WanaJF Ujenzi unaokaribia kukamilika mwakani wa barabara Mwenge to Morocco itakuwa vyema wakiweka round about badala ya taa. Hii itapunguza foleni na itaweka nakshi ya mji. Itaondoa na rushwa ndogo ndogo za matrafiki kuvizia wanaowahi taa. Itaongeza umakini na kupunguza ajali.
  7. 2019

    JamiiForums Gari ya Dangote yaacha njia na kuparamia nyumba, imesababisha foleni sana

    imeziba barabara ya Kilwa. Ni katikati ya Kipati na saba saba kwa Mpili Inasemekana lilimshinda dereva na kuhama barabara na kuparamia nyumba na kuharibu mali za watu. Kuna foleni kubwa sana. UPDATES Eneo ambalo gari liliaribu jana
  8. Hazchem plate

    JamiiForums Foleni kubwa Morogoro road

    Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi. Sijui shida ipo wapi
  9. Kennedy

    JamiiForums Mkuu wa Mkoa wa Morogoro litazame eneo la nane nane. Ni kero kwa foleni

    Kwaujumla watumiaji wa barabara ya morogoro eneo kuanzia Chuo Kikuu cha Jordan mpaka oilcom kumekuwa na foleni kubwa sana inayofanya watumiaji wakifika hapo kupoteza muda mwingi sana. Hakuna utaratibu mzuri uliowekwa ambao ungeruhusu magari yasiyo ya mizigo kupita kwa urahisi bila kero...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  11. J

    JamiiForums GE2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

    Kumekucha tena. Niko hapa Kinondoni Mkwajuni aisee watu wameamua maana siyo kwa umati huu. Naambiwa watia nia wamefika hapa tangu saa 10 Alfajili kuwahi nafasi ili ofisi zikifunguliwa wawe wa mwanzo. Ngoja nijaribu kupiga kapicha niwatupie hapa. Maendeleo hayana vyama!
  12. Tabutupu

    JamiiForums Kujiunga CHADEMA sasa Kidigitali, hakuna haja ya kupanga Foleni

    Fuata hatua zifuatazo kujisajili chadema na kulipa ada zako Chadema digital [emoji2147]
  13. Erythrocyte

    JamiiForums GE2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

    Hapa ni Ikungi , Singida Mashariki .
  14. Tabutupu

    JamiiForums Hii ndio design pekee ambayo ingemaliza tatizo la foleni Mbezi Mwisho

    Kwanza 1. Kuna nafasi ya kutosha 2. Gharama yake ni ndogo 3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele. Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design...
  15. mkiluvya

    JamiiForums Daraja la New Selander litapunguza adha ya foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi

    Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
  16. J

    JamiiForums Ni ujinga uliopitiliza kupanga foleni kumpigia kura mgombea wa CHADEMA/upinzani wakati msimamizi wa uchaguzi ni kada wa CCM

    Wananchi ni lazima tujue kwamba katiba ya JMT ndio inayobariki ushindi wa CCM. Na kiukweli ukiangalia maeneo ambayo upinzani huwa unashinda mara nyingi inakuwa ni ulegelege wa mkurugenzi ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi au huruma tu ya CCM yenyewe. Ni wale wananchi wapenda mageuzi mkaendelea...
  17. Parabora

    JamiiForums Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

    Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  19. G Sam

    JamiiForums Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  20. T

    JamiiForums Siamini nilichokishuhudia: daladala level seat, hakuna foleni, hakuna kelele, abiria hawasukumani, makonda hawatukani, unafika haraka unakoenda

    Hata kama corona ikiisha halafu mtu akatangaza kuwa sasa daladala zinaruhusiwa kujaza watu kama magunia kama ilivyokuwa mwanzo nitamshangaa sana. Kila mtu kukaa kwenye seat yake ni tija kwa afya ya msafiri, kiakili, kimwili na kisaikolojia. Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala na kwenda...
Back
Top Bottom