filamu

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muigizaji Mkenya kuhusika kwenye filamu ya Matrix 4: Resurrection

    In the brazen and competitive world of Hollywood, Kenyan youth are etching their names among the greats and establishing their prominence within the industry. This has been reflected in the case of Mumbi Maina, a 36-year-old actress, who is set to feature in the latest Matrix franchise film...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Jennifer Lawrence atarajia kupata mtoto wa kwanza

    Jennifer Lawrence atakuwa mama! Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney. Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano. Lawrence na Maroney walioana mnamo Oktoba 2020 huko Rhode Island, mbele ya marafiki wao mashuhuri...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Michael K Williams akutwa amefariki nyumbani kwake Brooklyn

    Muigizaji wa "The Wire" Michael K Williams amekutwa amefariki akiwa na umri wa miaka 54 nyumbani kwake brooklyn, vyanzo vya polisi vimeliambia shirika la habari la PA. Williams, anayejulikana zaidi kwa kucheza kama Omar Little kwenye tamthilia ya kihalifu ya "The Night Of" ya HBO...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WATUMISHI WA UMMA angalieni filamu

    Binti Christina ni afisa wa Benki bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni nafasi yake ya kuonesha kwamba ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu ili aweze kupanda cheo. Hivyo anaamua...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

    Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Sio siri, bila wapinzani Bungeni ghadhabu za Spika 'hazinogi' kabisa. Filamu zetu zinakosa mvuto

    Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya kuwashughulikia nje ya Bunge ikifanywa kwa ustadi mkubwa na Mwendazake mwenyewe. Walengwa wakuu...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

    GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA. Na, Robert Heriel. Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile fiction movies, adventure movies na Horror movies. Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa Ndugu Gwajima...
  11. The Guitarist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    Habari Natumaini upo na Uzima. Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu. Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na namna nilifanikiwa kujitoa Katika Uraibu wa Machapisho, Picha na Video za Ngono kwa Miaka 7. Nikiwa...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Pili wa Filamu ya Serengeti kutoka kesho

    Baada ya kupata umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa mtindo wake masimulizi, Msimu wa Pili wa Filamu Serengeti (Serengeti II) unarejea kuanzia kesho. Filamu hiyo inayosimulia maisha ya kila siku ya wanyama katika mbuga ya Serengeti nchini Tanzania inajitofautisha na filamu nyingi zinazoonesha...
  13. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wananchi kuchukulia siasa ni sehemu ya kiburudisho kama mpira na filamu

    Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara. Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Richard Donner gwiji filamu za 'Superman' afariki

    Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Kazi nyingine za Donner ni pamoja na filamu ya kutisha ya mwaka 1976...
  15. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika kupitia filamu yaleta tija ya ajira kwa vijana

    Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote mbili. Sote tunafahamu kwamba utamaduni umejikita na kuonekana kwenye mambo mbalimbali, yakiwemo lugha...
  17. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Staa na msanii Idris Sultan apaa kimataifa hadi NETFLIX;, kuonekana kwenye filamu ya Slay

    Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
  18. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
  19. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Yesu kwa kilugha inachekesha sana

    Hii kwa kisukuma.
Back
Top Bottom