WATUMISHI WA UMMA angalieni filamu

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Binti Christina ni afisa wa Benki

bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni nafasi yake ya kuonesha kwamba ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu ili aweze kupanda cheo. Hivyo anaamua "kumkazia" bibi wa watu bibi analia na kulia lakini wapi, Bibi anamuachia laana na kuanzia hapo anaanza kuona mauza uza mpaka anapelekwa kwa mganga aambaye ni mtu anayetumiwa na mapepo wazungu wanaita medium waswahili tunaita kiti, nisimalize uhondo wote inaitwa DRAG ME TO HELL ya 2009
drag2.jpg
drag3.jpg
drags5.jpg

drag1.jpg
 
Hii filamu tulishaicheki miaka 10 nyuma, lakini kuna kitu kama nahisi unajaribu kukiongelea lakini bado umeamua kukificha. Kwanini usikiongelee unachokitaka hasa wakijue watumishi wa umma?
 
Kam

View attachment 1920854View attachment 1920855View attachment 1920856
View attachment 1920853
Kampapamkuku kisughujila
 
Hii filamu tulishaicheki miaka 10 nyuma, lakini kuna kitu kama nahisi unajaribu kukiongelea lakini bado umeamua kukificha. Kwanini usikiongelee unachokitaka hasa wakijue watumishi wa umma?
Tena amelenga watumishi. Kuna nini kinaendelea?
 
Kwenye ile filamu kweli yule mdada alihangaika sana baada ya kukataa kumsaidia yule bibi kumpatia mkopo ambao, yeye kama mtumishi wa benki ilikuwa ni kitendo cha kumpitishia tu, ndio maana nikamtaka aeleze alicholenga kuwaeleza watumishi wa umma maana kuna kitu nahisi anakijua kinaendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom