PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

daVinci XV

JF-Expert Member
Nov 12, 2020
1,647
2,000
Wasaalam wakuu

Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu

Mwaka uliopita kulizuka habari juu
Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit

Screenshot_20210406-220506.png

Habit, pia itachezwa na nyota wengine kama Bella Thorne na Gavin Rossdale, na ipo kwajili ya kuonyesha maisha ya masihi .
Lakini itamwonyesha Paris Jackson akicheza kama Yesu Kristo mwanamke aliye na nywele za mtindo na kipini cha puani.

Screenshot_20210408-071637.png

Jackson atacheza kama Yesu lakini kinyume na ilivyo, yeye atacheza kama Msichana mjanja, msichana wa starehe na Yesu [ambaye] anajichanganya na biashara za madawa ya kulevya na kujifanya kama Mtawa," taarifa hiyo ilienea katika vyombo vya habari
Mtayarishaji wa filamu hiyo, Donovan Leitch, aliwaambia Waandishi na vyombo vya hababari kuhusu filmamu hiyo

Screenshot_20210408-071716.png

Ingawa tarehe ya kutolewa kwa filamu haikutangazwa, lakini makundi ya Kikristo tayari yaliendelea kuzuia na kupinga,

Screenshot_20210406-220302.png

Maombi kwa wahusika wa filamu, yasiyo ya faida za Kikristo, wakisema kuwa "haikubaliki kwa waumini".

Screenshot_20210406-220614.png

Kundi hilo lilisema kuwa filamu hiyo ingeweza kuwachanganya na kupotosha watoto.
Waombaji walipaza na.
Wakati huo huo wakawa wanashambulia uonyesho wa kihistoria na wa kibiblia wa Yesu Kristo.
Wakiomba msaada kuizuia, kwamba Filamu hiyo haikubaliki kwa waumini kote nchini na dunia.

daVinci XV

Screenshot_20210406-220302.png
 
Superfly

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
260
500
Ukifuatilia movie zilizochezwa hapo nyuma, zimewaaminisha wengi kua mtu yule aliyecheza movie zile ndie yesu christo pamoja na matendo yale wanayoyaona...
Hadi imefkia hatua picha za bwana yule zimewekwa majumbani na hata makanisani, na watu wengi, watoto kwa watu wazima wanaamini kua yule ndio yesu mweyewe..

Kama watu wameweza kuamini filamu hio iliyopita kwa kiasi kile, basi tutegemee UPOTOSHAJI mkubwa kwa vizazi vipya vijavyo.. Maana siku hizi watoto wetu wanaangalia chochote kile kwenye TV zetu Majumbani..

"The end is Near.."
 
Yule bwana Brayan Decon mkakati ule ulifanikiwa kufanya kazi kwa asilimia 100% Aiseee .

Mtu wengi ukiongelea habari za bwana Yesu taswira inayokuja kichwani mwake ni ya yule bwana

Nikapata wasaa nitaleta habari yake yule bwana
 
I AM NO ONE

JF-Expert Member
Aug 7, 2020
376
1,000
Ukifuatilia movie zilizochezwa hapo nyuma, zimewaaminisha wengi kua mtu yule aliyecheza movie zile ndie yesu christo pamoja na matendo yale wanayoyaona...
Hadi imefkia hatua picha za bwana yule zimewekwa majumbani na hata makanisani, na watu wengi, watoto kwa watu wazima wanaamini kua yule ndio yesu mweyewe..

Kama watu wameweza kuamini filamu hio iliyopita kwa kiasi kile, basi tutegemee UPOTOSHAJI mkubwa kwa vizazi vipya vijavyo.. Maana siku hizi watoto wetu wanaangalia chochote kile kwenye TV zetu Majumbani..

"The end is Near.."
Bora watoe na hii movie ili wazidi kuwachanganya wajinga zaidi. Maana kiasi hiki cha muigizaji wa Hollywood kubandikwa picha yake kwenye baadhi ya nyumba kuwa tukiamin ndo yesu dah ni shida. Yesu mwenyewe huko aliko nadhan anaumia sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom