Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,491
- 3,998
Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.
Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika zaidi.
Iliibuka kamata kamata kubwa sana ya wauzaji wa kazi za wasanii wa ndani.
Baada ya ile kamata kamata hakukuwa na Mrejesho kuwa sasa wasanii wanapata pesa kwa haki bali ni kudorora kwa soko.
Je, nani aliua lile soko la filamu za ndani? Kwa nini soko la filamu za ndani life la nje libaki?