Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

I_manyota

Member
Aug 15, 2012
48
44
Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it.​
Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch fundi mmja nuksi sanaaaaaa saanaaaaaaaaaa, mkali huyo aliyejizolea heshima duniani kupitia utayarishaji wa muziki.

A-173211-1566888032-8154.jpeg.jpg

article-2398700-1B641595000005DC-62_634x728.jpg

Kuna waadaaji wachache walioweza kutengeneza muziki na muziki ukaishi miaka na miaka, katika orodha hiyo huwezi acha weka jina la Scott Storch. Mtengenezaji, mtunzi wa nyimbo aliyeweka alama yake ya kuanza huko Philly kama mpiga kinanda na member muhimu sana wa kundi la The Roots.​
Sio uchawi ni kipaji chake uwezo wa wake wa hatari kuchezea kinanda uliomtoa Philly hadi California mpiga kinanda aliyetengeneza midundo yake ya hatari(Classic) hasa kwenye pop, hip-hop na R&B, akifanya kazi na safu ya wasanii kama Dr Dre na Beyonce ,G-unit, Chris Brown, 50 Cent Christina Aguilera list ni ndefu yaaani kwa kifupi the top ya miaka 2000's basi jua katika ngoma 10 kama sio zote basi jua 9 kahusika.
Vibao vilikua on the top kwa charts mbalimbali duniani, pesa ziliongezeka, na ubunifu ulilipuka. Chunk kubwa ya muziki bora wa 2000 ina jina la Storch. Unajua tena ukishakua na mkwanja mambo yanakua mengii bata zinapitiliza kwao, jamaa akaingia kwenye shida za dawa za kulevya na baadae shida za kifedha maana uteja ulizidi akashindwa kufanya kazi mkwanja ukaanza kushuka taariibu, aliacha kuonekana kwa muongo mmoja. Ilikuwa kama kapotezea muziki, ila jamaa akarudi upya kwa vitendo. Scott Storch bado anaendelea na amefanya nyimbo nzuri tu na bado ananendelea kufanya kazi na kizazi kipya na hata kile cha zamani French Montana, Chris Brown, A $ AP Ferg pamoja na wageni wenye talanta kama Kyle na Thutmose. Kurudi kwa Scott Storch wa mashabiki wa hip-hop hii ni habari nzuri maana jamaa amefanya makubwa kuliko katika Hip-Hop.

Huwezi kumuongelea Scott bila kumtaja Dr Dre, baada ya Dr kuondoka zake Death Row Records na kuanzisha studio yake ya Aftermath Entertainment scott alikua akifanya kazi na dre, mnajua vile Dre yuko vizuri kwenye kuona vipaji japo aliwahi kumsign Eve E kwenye label yake lakini hakudeal nae mpaka akamrudisha Ruff Ryders sababu Dre anasema alikua busy saaana alishindwa kupata muda wa kufanya kazi za Eve.​
BLBFH6YRBJ7MKTRS2Z3ZEWTBNU.jpg
Scott kashiriki pakubwa sana kwenye kuandaa album ya 2000's ya Dre na katika list ya ngoma kwenye album hiyo bila kupepesa macho still ndio ngoma kuntu mule ndani, hii nyimbo nayo ina kastori kake nawapa. Maana hii nyimbo mpaka inatoka haikuwa mchezo , ni hivi wakati wako studio kila mtu yuko na mishe mishe zake nini si unajua tena studio haiwezi kuwa kimya mabeat yakawa yanapigwa tu humu ndani na scott alikuwepo muda huo akasikia beat inalia, mzee baba akaipenda ghafla tu akarukia kinanda akaanza kugonga mdundo ulee unaousikika wakati Still inaanza, basi bwana Dre alikua anakatisha si akasikia kinanda flani konki kinalia akamwambia save hiyo kitu.Na niwaambie tu hii nyimbo Dr Dre alichofanya kikubwa ni kuifanyia mixing tu. Mzigo ukasukwa ukasukika sasa balaa kuiandikia mistari bwana Snoop Dogg ,Eminem, Dre Mel-man na member wengine wakaanza kuandika, kila anayeandika hola watu andika wee holaaa Dre akaona msinitanie akavuta wire kwa mzee baba Jigga Man Jay Z New York hiyo. Bwana mkubwa akala flight hadi Los Angels LA wenyewe wanaita hivyo. Fika pale akapewa beat kaisikiliza fresh unaambiwa mjinga yule akawa kaandika nyimbo nzima verse zote na chorus yake. Japo hapo awali watu walijua kuwa nyimbo iliandikwa na watu wengi kabla ya Snoop dogg, kuweka mambo hadharani kuwa wao waliandika lakini beat ilionekana kuwazidi uwezo si yeye wala mtu yoyote anayestahiri kupewa credit si mwengine bali ni Jay Z wao waliandika lakini waliona kabisa hamna kitu wamefanya so Jigga Wrote it.

snoop-and-jay-z.jpg

He wrote all of it. It’s about who can project the best song for the artist at that time. And anytime we worked on a project, for example like you brought up the Jay-Z situation, we was trying to write “Still D.R.E.”, we all took a shot at it, but we all couldn’t come up with nothing as dope as Jay-Z. So we had to take a backseat and say, ‘Okay, his shit is doper than everybody else’s shit that had done wrote something, so he’s the winner, we gonna do what he say’, and at the same time he wrote it in the same vein as if we wrote it, because he understood what he was writing for. He took and embodied, you know what I’m saying, the whole situation as far as writing for Dr. Dre, so we couldn’t do nothing but, you know, take a backseat and acknowledge that, and say, ‘You know what? You’s a bad motherfucker’. We didn’t dispute that, even with Eminem, you know, when the white boy was writing he was coming with that shit. Niggas were like, ‘Man, we can’t https://jamii.app/JFUserGuide with that!’.

50-cent-scott-storch.jpg

Mzigo ukashuka the rest is history, na baada ya muda kidogo akanya ngoma ya Fat Joe Learn Back ndio ikawa tafrani mjini kila msanii akatamani kufanya nae ngoma, aliyebahati kufanya kitu kilichotoka kilikwea chart za juu jina la jamaa likazidi kungara na kujijengea heshima kubwa sana.
 
Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it.​
Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch fundi mmja nuksi sanaaaaaa saanaaaaaaaaaa, mkali huyo aliyejizolea heshima duniani kupitia utayarishaji wa muziki.

View attachment 1625756

View attachment 1625745
Kuna waadaaji wachache walioweza kutengeneza muziki na muziki ukaishi miaka na miaka, katika orodha hiyo huwezi acha weka jina la Scott Storch. Mtengenezaji, mtunzi wa nyimbo aliyeweka alama yake ya kuanza huko Philly kama mpiga kinanda na member muhimu sana wa kundi la The Roots.​
Sio uchawi ni kipaji chake uwezo wa wake wa hatari kuchezea kinanda uliomtoa Philly hadi California mpiga kinanda aliyetengeneza midundo yake ya hatari(Classic) hasa kwenye pop, hip-hop na R&B, akifanya kazi na safu ya wasanii kama Dr Dre na Beyonce ,G-unit, Chris Brown, 50 Cent Christina Aguilera list ni ndefu yaaani kwa kifupi the top ya miaka 2000's basi jua katika ngoma 10 kama sio zote basi jua 9 kahusika.
Vibao vilikua on the top kwa charts mbalimbali duniani, pesa ziliongezeka, na ubunifu ulilipuka. Chunk kubwa ya muziki bora wa 2000 ina jina la Storch. Unajua tena ukishakua na mkwanja mambo yanakua mengii bata zinapitiliza kwao, jamaa akaingia kwenye shida za dawa za kulevya na baadae shida za kifedha maana uteja ulizidi akashindwa kufanya kazi mkwanja ukaanza kushuka taariibu, aliacha kuonekana kwa muongo mmoja. Ilikuwa kama kapotezea muziki, ila jamaa akarudi upya kwa vitendo. Scott Storch bado anaendelea na amefanya nyimbo nzuri tu na bado ananendelea kufanya kazi na kizazi kipya na hata kile cha zamani French Montana, Chris Brown, A $ AP Ferg pamoja na wageni wenye talanta kama Kyle na Thutmose. Kurudi kwa Scott Storch wa mashabiki wa hip-hop hii ni habari nzuri maana jamaa amefanya makubwa kuliko katika Hip-Hop.

Huwezi kumuongelea Scott bila kumtaja Dr Dre, baada ya Dr kuondoka zake Death Row Records na kuanzisha studio yake ya Aftermath Entertainment scott alikua akifanya kazi na dre, mnajua vile Dre yuko vizuri kwenye kuona vipaji japo aliwahi kumsign Eve E kwenye label yake lakini hakudeal nae mpaka akamrudisha Ruff Ryders sababu Dre anasema alikua busy saaana alishindwa kupata muda wa kufanya kazi za Eve.​
Scott kashiriki pakubwa sana kwenye kuandaa album ya 2000's ya Dre na katika list ya ngoma kwenye album hiyo bila kupepesa macho still ndio ngoma kuntu mule ndani, hii nyimbo nayo ina kastori kake nawapa. Maana hii nyimbo mpaka inatoka haikuwa mchezo , ni hivi wakati wako studio kila mtu yuko na mishe mishe zake nini si unajua tena studio haiwezi kuwa kimya mabeat yakawa yanapigwa tu humu ndani na scott alikuwepo muda huo akasikia beat inalia, mzee baba akaipenda ghafla tu akarukia kinanda akaanza kugonga mdundo ulee unaousikika wakati Still inaanza, basi bwana Dre alikua anakatisha si akasikia kinanda flani konki kinalia akamwambia save hiyo kitu.Na niwaambie tu hii nyimbo Dr Dre alichofanya kikubwa ni kuifanyia mixing tu. Mzigo ukasukwa ukasukika sasa balaa kuiandikia mistari bwana Snoop Dogg ,Eminem, Dre Mel-man na member wengine wakaanza kuandika, kila anayeandika hola watu andika wee holaaa Dre akaona msinitanie akavuta wire kwa mzee baba Jigga Man Jay Z New York hiyo. Bwana mkubwa akala flight hadi Los Angels LA wenyewe wanaita hivyo. Fika pale akapewa beat kaisikiliza fresh unaambiwa mjinga yule akawa kaandika nyimbo nzima verse zote na chorus yake. Japo hapo awali watu walijua kuwa nyimbo iliandikwa na watu wengi kabla ya Snoop dogg, kuweka mambo hadharani kuwa wao waliandika lakini beat ilionekana kuwazidi uwezo si yeye wala mtu yoyote anayestahiri kupewa credit si mwengine bali ni Jay Z wao waliandika lakini waliona kabisa hamna kitu wamefanya so Jigga Wrote it.

View attachment 1625754

View attachment 1625755

Mzigo ukashuka the rest is history, na baada ya muda kidogo akanya ngoma ya Fat Joe Learn Back ndio ikawa tafrani mjini kila msanii akatamani kufanya nae ngoma, aliyebahati kufanya kitu kilichotoka kilikwea chart za juu jina la jamaa likazidi kungara na kujijengea heshima kubwa sana.
Duh,hadi Marshal Mothers naye alisanda,kweli noma
 
Dre alikua anataka ngoma ya kuwajibu watu walikua wanasema game ndio basi tena tangu ajitoe DeathRow.
Ahaaaaa,ndio maana alichagua sana ili kupata kilicho bora,ila kiukweli huyo Jigga huyo si wa dunia hii,jamaa ni multitalented sana halafu hana shongondo,hakuna ngoma atakayoitoa isifanye vyema
 
Yep, jigga ni mtu na nusu jamaa anaandika kinoma noma na kaandikia watu wengi sana harafu hatangaz ni wewe mwenyewe ukiona poa kumpa credit zake fresh. Sema jamaa anaufaza sana
 
Ana ufadha wa kiaje bob?

Jamaa anakatabia flani wewe mcheki hata kwenye nyimbo alizoshirikishwa kwanz mpaka akubari kufanya video kakuheshimu sanaa . Sio mtu wa matukio ya kidakudaku, hta kwenye social network hayupo. Tafuta picha alizopiga na wasanii wenzake utamuona yeye katulia tu yuko simple sasa hao wa pembeni yake.
 
Kuna lile ngoma la Ain't know Birdman & Lil Wayne, vinanda vilivyopigwa pale hataree. Lil Wayne anarap:-

This is a Scott Storch, and I'm a hot torch
And gettin' money is my sport
And understand the rap game is my court
So I shall walk and come forth like a Rockport

Imagine ngoma ina miaka 10 lakini ukiisikia hadi leo unaona vibe lake liko palepale
 
Jamaa anakatabia flani wewe mcheki hata kwenye nyimbo alizoshirikishwa kwanz mpaka akubari kufanya video kakuheshimu sanaa . Sio mtu wa matukio ya kidakudaku, hta kwenye social network hayupo. Tafuta picha alizopiga na wasanii wenzake utamuona yeye katulia tu yuko simple sasa hao wa pembeni yake.
May be ndio masharti aliyopewa na freemason,🤪🤪🤪,manake kuna madai kuwa ni member huko
 
May be ndio masharti aliyopewa na freemason,,manake kuna madai kuwa ni member huko

hamna jamaa ameamua kujipa thamani tu tangu anaanza game jigga ndio swagger zake hizo... zamani aliwahi fanya battle na DMX hayo masharti waliyopewa
 
ukicheki insta yake muda wote akosi kijiti mkononi huko studio ndio usisema kwanza anamiliki kampuni ya kuuza ndumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom