filamu

  1. comte

    Lema bhana kamchagulia RJMT, DCI, DPP, IGP filamu ya kuangali kumbe anawasema mh. Kibatala na wenzake kuwa hawana uwezo wa kumtetea Mbowe

    Godbless E.J. Lema @godbless_lema Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama nao itakuwa vyema zaidi. Inaitwa ... " JUST MERCY "
  2. 100 others

    Filamu ya James Bond ikionyesha Land Cruiser Toyota inavyozipa shida na kuziharibu Range Rovers

    Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani? Mapema land rover walitoa video fupi ya no time to die ambayo ipo YouTube, cha kushangaza ni James Bond...
  3. D

    Staa wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt yupo ndani ya Tanzania kwa sasa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na muigizaji mashuhuri wa filamu za Kihindi kutoka nchini India, Sanjay Dutt ambaye ameahidi kushirikiana na Serikali katika kukuza tasnia ya filamu nchini. Amekutana na msanii huyo leo (Jumatano, Novemba 10, 2021) katika ofisi ndogo...
  4. Sky Eclat

    Kuna walionufaika kwa kukodisha nyumba zao kwa Bongo Movie Industry kwa kurekodi filamu?

    Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii. Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
  5. M

    Nashauri serikali ifungie utengenezaji na usambazaji wa Filamu za Kibongo hadi watakapojitambua

    Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao) Filamu stori haieleweki wanaigiza ili mradi tu, Unaweza kusema labda bajeti ya uandaaji ni kubwa...
  6. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
  7. MK254

    Muigizaji Mkenya kuhusika kwenye filamu ya Matrix 4: Resurrection

    In the brazen and competitive world of Hollywood, Kenyan youth are etching their names among the greats and establishing their prominence within the industry. This has been reflected in the case of Mumbi Maina, a 36-year-old actress, who is set to feature in the latest Matrix franchise film...
  8. Lady Whistledown

    Jennifer Lawrence atarajia kupata mtoto wa kwanza

    Jennifer Lawrence atakuwa mama! Mwigizaji huyo wa miaka 31 ana ujauzito wa mtoto wake wa kwanza na mumewe, Cooke Maroney. Mwakilishi wa Lawrence alithibitisha habari hiyo kwa Watu Jumatano. Lawrence na Maroney walioana mnamo Oktoba 2020 huko Rhode Island, mbele ya marafiki wao mashuhuri...
  9. Lady Whistledown

    Muigizaji Michael K Williams akutwa amefariki nyumbani kwake Brooklyn

    Muigizaji wa "The Wire" Michael K Williams amekutwa amefariki akiwa na umri wa miaka 54 nyumbani kwake brooklyn, vyanzo vya polisi vimeliambia shirika la habari la PA. Williams, anayejulikana zaidi kwa kucheza kama Omar Little kwenye tamthilia ya kihalifu ya "The Night Of" ya HBO...
  10. T

    Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  11. Gordian Anduru

    WATUMISHI WA UMMA angalieni filamu

    Binti Christina ni afisa wa Benki bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni nafasi yake ya kuonesha kwamba ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu ili aweze kupanda cheo. Hivyo anaamua...
  12. Gordian Anduru

    WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

    Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
  13. C

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  14. VUTA-NKUVUTE

    Sio siri, bila wapinzani Bungeni ghadhabu za Spika 'hazinogi' kabisa. Filamu zetu zinakosa mvuto

    Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya kuwashughulikia nje ya Bunge ikifanywa kwa ustadi mkubwa na Mwendazake mwenyewe. Walengwa wakuu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

    GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA. Na, Robert Heriel. Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile fiction movies, adventure movies na Horror movies. Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa Ndugu Gwajima...
  16. The Guitarist

    SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    Habari Natumaini upo na Uzima. Basi tumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini kama Pia haupo sawa amini kwamba wakati wako Utafika tu. Bila kupoteza wakati acha nikushirikishe mkasa huu ulionipata na namna nilifanikiwa kujitoa Katika Uraibu wa Machapisho, Picha na Video za Ngono kwa Miaka 7. Nikiwa...
  17. Sam Gidori

    Msimu wa Pili wa Filamu ya Serengeti kutoka kesho

    Baada ya kupata umaarufu mkubwa kutokana na upekee wa mtindo wake masimulizi, Msimu wa Pili wa Filamu Serengeti (Serengeti II) unarejea kuanzia kesho. Filamu hiyo inayosimulia maisha ya kila siku ya wanyama katika mbuga ya Serengeti nchini Tanzania inajitofautisha na filamu nyingi zinazoonesha...
  18. wazanaki

    Dhana ya wananchi kuchukulia siasa ni sehemu ya kiburudisho kama mpira na filamu

    Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara. Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana...
  19. Suley2019

    Richard Donner gwiji filamu za 'Superman' afariki

    Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Kazi nyingine za Donner ni pamoja na filamu ya kutisha ya mwaka 1976...
  20. M Hacker

    Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
Back
Top Bottom