Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

myola

Member
May 21, 2021
27
45
Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine.

Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu hifadhi za wanyama kenya ipo karibu mlima Kilimanjaro.

Je, Tanzania tunakwama wapi kwa filamu kubwa kushindwa kufanya location hifadhi za wanyama tanzania inaweza kuwa chachu kutangaza utalii kupitia movie.

Endangered species 2021 stori km naifananisha ishu Faru John.

Karibu kwa maoni yako

endangered-species-2021%20(1).jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom