fedha

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi aonya watakaochezea fedha za mradi Ujenzi wa Shule mpya za Sekondari za Bweni za wasichana

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitomvumiria mhandisi, afisa elimu au yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa ujenzi wa shule mpya za sekondari za bweni za wasichana kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

    Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu. Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha DP WORLD: Tozo na Kodi mbalimbali kufutwa au kupunguzwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tutarajie mazuri zaidi miaka ijayo ya fedha

    Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu. Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Agizo la Rais kwa TRA kutofungia Biashara liingie kwenye Sheria ya Fedha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mwenye muswaada wa marekebisho sheria ya fedha 2023 tusaidie

    Msaada tutani wadau mwenye huo mswaada ambao Bunge limeomba wadau kutoa maoni kuhusu marekebisho hayo
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2023-2024

    MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania 11 Wafikishwa mahakamani kwa makosa ya utakatishaji fedha

    Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuanzisha/ kuendeleza/ kuimarisha biashara ya mikopo (kukopesha fedha) waangalie Bodaboda, ni chimbo la uhakika

    Habari JF, Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi. Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha) Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati. iko hivi, boda boda are...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba: Umasikini uliokithiri umepungua Tanzania

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za mafunzo Askari Polisi zazua jambo, Msemaji wa Polisi atoa ufafanuzi

    Hali si shwari ndani ya Jeshi la Polisi, baada ya askari wenye cheo cha kuanzia konstebo hadi mkaguzi wanaohudhuria mafunzo ya utayari nchi nzima, kulalamikia kujigharimia mafunzo hayo, licha ya Serikali kueleza kuwa inatoa fedha kwa ajili hiyo. Vyanzo mbalimbali vimelidokeza gazeti hili kuwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  17. BUCHANAGANDE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Makatibu Tawala wa Wilaya warudishe pesa za fanicha walizokula

    Salaam katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais naomba nikujulishe kuwa ile pesa Milioni kumi na sita (16,000,000/=) ulizotoa kwa kila Wilaya Kwa Makatibu Tawala ili wanunue FANICHA katika Nyumba wanazoishi wengi wao hawajanunua Fanicha kama lengo la fedha hizo lilivyo na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 jela kwa Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Jausia Msophe kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh500 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa mashtaka mawili likiwemo la utakatishaji wa fedha kiasi cha Sh158 milioni. Pia mahakama hiyo imemuamuru kiasi cha fedha cha Sh158 milioni zilizokuwepo...
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
Back
Top Bottom