fedha

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Arusha: TAKUKURU yamtia mbaroni muweka hazina wa kikundi aliyedai fedha zimepotea kishirikina

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini ubadhirifu mabilioni ya fedha za malipo ya korosho. Wakulima wasiolipwa watakiwa kujitokeza na CAG kuikagua bodi ya Korosho

    Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo. Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko. Kadhalika Waziri amewataka...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi. Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

    Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket" Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mtaji

    Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  7. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yalipa matrilioni ya fedha ya madeni kwa miaka minne

    Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka 2016/17 hadi Septemba 2019, Serikali imelipa jumla ya Sh24.499 trilioni kwa ajili ya deni lililoiva la fedha zilizokopwa kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo. Dk Mpango ameyasema hayo leo...
  8. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe maelekezo ya fedha za uchaguzi zilizobaki kwenye Halmashauri, naona huku vimeanza

    Kwanza nawashukuru wananchi na wasimamizi kwa namna moja au nyingine walioshiriki kuokoa fedha hizi. Nitakuwa mchoyo wa fadhira nisiposema asante Halmashauri zilipokea fedha nyingi kwa ajiri ya uendeshaji wa uchaguzi, karibu halmashauri zote zimetumia nusu tu ya fedha zilizopelekwa, kwa sababu...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha: Matumizi ya Serikali kuongezeka katika bajeti ijayo

    Matumizi ya Serikali yanakadiriwa kuongezeka kutoka Sh33.105 trilioni ya mwaka wa fedha 2019/2020 hadi Sh34.360 trilioni kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

    Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania 'Moto wawababua' wezi wa fedha za wakulima wa ufuta wawafikia na kuwatesa wezi wa fedha za wakulima wa Korosho

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho. Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanasheria hujiondoa katikati ya kesi huku akiwa ameshachukua fedha mtuhumiwa

    Huwa najiuliza kwanini huwa wanajiondoa katikati ya kesi huku wakiwa wameshachukua fedha za mtuhumiwa au mlalamikaji? huwa nina maswali kadhaa 1. Je, wanakuwa wameona kuwa hawatashinda keshi hivyo huwalazimu kujitoa ili wasionekane baadhi ya kesi huwa wanashindwa? 2.Je, huwa wanaendelea...
  14. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania 'Moto wawababua' wezi wa fedha za wakulima wa ufuta wawafikia na kuwatesa wezi wa fedha za wakulima wa Korosho

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa( TAKUKURU) mkoani Lindi imeanza kuwabana viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika ( AMCOS) ambao vyama vyao havijawalipa wakulima wa Korosho. Budi alisema wakulima wa korosho ambao hawajalipwa fedha zao wameanza kujitokeza na kulalamika baada ya kusikia...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Tsh. Bilioni 40 zitumike kulipa madeni ya Wakulima wa Korosho baada ya Serikali kununu Korosho hizo

    Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19 Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri anaomba fedha kwa wabunge na mkuu wa mkoa anaomba fedha za maendeleo kwa Rais sijaelewa hii imekaaje?

    Mara nyingi nimeshuhudia mawaziri wakiwabembeleza wabunge wawapatie fedha za maendeleo kwa kuzipitisha bajeti zao ndani ya bunge zima Lakini pia kuna wakati huwa nawaona wabunge wakimuomba Rais awajengee ama barabara, hospitali nk.....na hii niliishuhudia juzikati kwa Nape kule Mtama na hata...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwa kufanya biashara ya kubadili fedha bila leseni

    Polisi Mkoani Mbeya inawashikilia watu 14 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na leseni kutoka Benki Kuu (BoT) kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi, Kasumulu Wilayani Kyela Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Eurich Matei, amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana...
  18. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania DC wa Hai, Ole Sabaya aingia kati na kumnasa mtu na noti bandia za milioni 13

    Wadau. Unaweza kusema kuwa haijapata Kutokea. DC wa Hai Mhesh Ole Sabaya ameamua kuingia front na kufanikiwa kumnasa live Kigogo na Mkazi Bomang'ombe Wilayani Hai amna noti bandia zenye thamani ya Shilingi Milion 13. Uongozi wa Vitendo. Hongera Mhesh Sabaya. ---- Mkuu Wa wilaya ya Hai...
  19. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini ofisi ya DPP wanatuona Watanzania ni wajinga na Vilaza? Huyo mwizi kaibaje computer kwenye ulinzi wa CCTV na jeshi lenye SMG & AK47

    WATANZANIA SIO WAJINGA KIASI HIKI Leo vyombo vya habari vimeripoti kwamba Computer za ofisi ya DPP tena zenye nyaraka za kumbukumbu za waliolipa fedha za uhujumu uchumi na nyaraka nyingine zikiwemo za mienendo ya mashtaka ya kesi za uhujumu zimeibwa. Huu ni zaidi ya ukoo wa panya. Huwezi...
  20. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

    Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa...
Back
Top Bottom