fedha

  1. BUCHANAGANDE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Makatibu Tawala wa Wilaya warudishe pesa za fanicha walizokula

    Salaam katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais naomba nikujulishe kuwa ile pesa Milioni kumi na sita (16,000,000/=) ulizotoa kwa kila Wilaya Kwa Makatibu Tawala ili wanunue FANICHA katika Nyumba wanazoishi wengi wao hawajanunua Fanicha kama lengo la fedha hizo lilivyo na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 jela kwa Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Jausia Msophe kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh500 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa mashtaka mawili likiwemo la utakatishaji wa fedha kiasi cha Sh158 milioni. Pia mahakama hiyo imemuamuru kiasi cha fedha cha Sh158 milioni zilizokuwepo...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

    1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi 2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe) Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo., Mmeruhusu haya?
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu kuadimika kwa Dola nchini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa kulinganisha na nchi zingine. kutokana ná mikakati iliyowekwa na serikali. Alitoa, kauli hiyo jana wakati...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Kenya: Hatutajenga Barabara kwenye Majimbo yanayopinga Sheria ya Fedha

    Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga. Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kununua ndege bila business plan ni kufuja fedha za maskini

    Biashara ya ndege ni moja ya biashara ngumu zaidi duniani. Hii ni biashara yenye mahesabu makali. Ni biashara ya kimataifa. Kufanikisha biashara ya ndege tunahitaji timu yenye weledi mkubwa sana kibiashara. Wazungu Afrika Kusini wamepata changamoto kubwa na hasara pia, Wanaigeria, Wamisri na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Ameishauri Wizara ya Nishati Kuweka Fedha za Kutosha kwa Ajili ya Nishati Safi ya Kupika

    MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA "Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU ametupatia Watanzania. Wananchi wa Ngara tunamuunga mkono Rais na timu nzima ya Wizara ya Nishati...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

    Kufuatia Hali ya upungufu wa Fedha za Kigeni hasa Dol ya Marekani,BoT yaja na maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala Kwa mtu mmja mmja, taasisi na kampuni ikiwemo kupiga Marufuku madalali Ili kulinda Afya ya Uchumi. Awali Waziri wa Fedha amenukuliwa akisema Kupungua Kwa mzunguko wa Dola...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  13. Godman

    JamiiForums Tanzania Tanroad Iringa, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam. Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024

    Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
Back
Top Bottom