Makocha wa klabu waliotumia fedha nyingi kusajili

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika maisha yake ya ukocha kufanya usajili, akiwa kwenye nafasi ya Kocha Mkuu kwenye klabu zote alizotumikia Pauni Bilioni 1.75 zimetumika kusajili, hii inajumuisha alipokuwa Barcelona, Bayern Munich na alipo kwa sasa.

Hii ni orodha ya makocha ambao wameongoza kwa kutumia fedha nyingi kusajili ngazi ya klabu pamoja na mataji waliyobeba (ikiwemo Ngao ya Jamii na Spanish Supercopa).

1. PEP GUARDIOLA
Pauni Bilioni 1.75 (Tsh. Trilioni 5.4); Mataji 37

2. JOSE MOURINHO
Pauni Bilioni 1.6 (Tsh. Trilioni 4.9); Mataji 26

3. CARLO ANCELOTTI
Pauni Bilioni 1.45 (Tsh. Trilioni 4.5 ) ; Mataji 26

4. MASSIMILIANO ALLEGRI
Pauni Bilioni 1.2 (Tsh. Trilioni3.7) ; Mataji 13

5. DIEGO SIMEONE
Pauni Bilioni 1.04 (Tsh. Trilioni 3.2); Mataji 10

6. MANUEL PELLEGRINI
Pauni Bilioni 1.03 (Tsh….. ); Mataji 11

7. THOMAS TUCHEL
Pauni Bilioni 1.02 (Tsh. Trilioni 3.1); Mataji 10

8. ANTONIO CONTE
Pauni Bilioni 1.01 (Tsh. Trilioni 3.1); Mataji 9

9. MAURICIO POCHETTINO
Pauni Milioni 989 (Tsh. Trilioni 3); Mataji 3

10. JURGEN KLOPP
Pauni Milioni 971 (Tsh. Trilioni 3); Mataji 12

#####

Pep Guardiola's clubs have splashed out £1.75BILLION on signings during his illustrious career but he's delivered the silverware... so how do Mourinho, Klopp, Pochettino and other top bosses compare in the money-per-trophy stakes?

It showed that Manchester City's Pep Guardiola had spent around £1.75billion on new players during the course of his illustrious coaching career, which also included his time with Barcelona and Bayern Munich.

Jose Mourinho, now the Roma boss, wasn't too far behind in the spending stakes on £1.6bn, while Real Madrid coach Carlo Ancelotti was on £1.45bn.

For the sake of argument, all trophies won by each manager - including ones such as the Community Shield and Spanish Supercopa - have been included.

PEP GUARDIOLA - £47.3m per trophy
£1.75bn spend; 37 trophies

JOSE MOURINHO - £61.2m per trophy
£1.6bn spend; 26 trophies

CARLO ANCELOTTI - £55.7m per trophy
£1.45bn spend; 26 trophies

MASSIMILIANO ALLEGRI - £92.3m per trophy
£1.2bn spend; 13 trophies

DIEGO SIMEONE - £104m per trophy
£1.04bn spend; 10 trophies

MANUEL PELLEGRINI - £93.7m per trophy
£1.03bn spend; 11 trophies

THOMAS TUCHEL - £102m per trophy
£1.02bn spend; 10 trophies

ANTONIO CONTE - £112.2m per trophy
£1.01bn spend; 9 trophies

MAURICIO POCHETTINO - £329.7m per trophy
£989m spend; 3 trophies

JURGEN KLOPP - £81m per trophy

£971m spend; 12 trophies

Source: Dailymail
 
ni sawa,
si wanawekeza zaidi ili kupata ushindi mkubwa na faida kubwa zaidi
 
Chelsea ndani ya misimu miwili wametumia billion 1.3 ....

Sema makocha ndio tofauti ...

Potter ,Lampard ,sasa potchetno ..

0 trophies ...

Kama pesa zipo tumia ....kama Hauna pesa Ni masikini tulia ...

Kama unafikili kutokutumia pesa ndio kuwa kocha Bora wewe endelea kuteseka maishani huku mbele ya camera wanakusifu ujinga...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom