faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Ongeza faida kwenye biashara yako kwa kumkwepa middle man

    Maisha ya biashara na ujasiriamali kila unapoamka inapaswa upashe akili moto kuongeza ile 500 uliyoipata jana leo upate 1000 na kesho kutwa upate 1500 Hiyo ndio inatwa biashara na ujasiriamali. Leo nataka kuandika kitu kidogo chakufungulia mwaka kuamsha waliolala,na jambo lingine leo nataka...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

    Habari za mwaka 2021 wadau Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

    Habari wakuu! Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa. Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo -...
  5. Shobi

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umewahi kumpa mtu ukaleta matokeo ya faida au matatizo makubwa?

    Wakuu mambo vipi Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao. Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

    Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa. Faida nilizozipata ni hizi: 1. Muda wa kufanya...
  7. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Faida hasara na unyanyasaji raia wa kitochi cha usalama barabarani

    Sheria ya usalama barabarani licha ya lengo lake kutakiwa kusababisha usalama wa usafiri barabarani imekua ikitumika vibaya na wasimamizi wake wote kuwapatia ulaji. Ndivyo ilivyo pia kwa uanzishaji wa tochi au kamera za kudhibiti mwendo barabarani. Wakati raia wakitarajia kupungua ajali askari...
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

    Hii nadhani jamii nyingine pia wangeiga. Isiwe tu ni sisi wachaga ndo wakusafiri mwezi wa 12. Iko hivi uchumi wa nchi au sehemu yoyote unakuwa driven sana sana na expenditure. Watu wasipofanya spending, uchumi hauwezi kukua kamwe. Na nadhani hii ndio inafanya hata maeneo ya jamii nyingi za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi hivi unawatafuta nini wananchi kwenye ardhi? Hebu tuliza spidi unaenda kasi isiyo na faida

    Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi. Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao. Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama Diamond anashindwa kumsitiri baba yake kwenye ukata utajiri wake una faida gani?

    Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake. Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo. Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tucheze na maneno kwa kupeana faida

    Mwenye kujua neno au maneno ambayo ukiyasoma au ukilisoma neno hilo kutoka kushoto kwenda kulia ni sawa na kutoka kulia kwenda kushoto. Naanza na hili : Uvivu Tuendelee waungwana....
  12. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa VODACOM, TIGO, ZANTEL, TTCL, AIRTEL pitieni hapa, huwenda kukawa kuna faida kwenu

    .
  13. Youth Worker Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuandika malengo

    Wakuu Habari, Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi ya Uhai na salama . Leo niandike jambo kuhusu kuandika Malengo Mwanzo niliamini ni maneno tu kama yalivyo mengine hasa yale yanayosemwa na Inspirational na motovational Speakers, ambao hivi karibuni wamekuwa wakidhihakiwa kama...
  14. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifanye nini kuvuna faida za Huduma ya Afya kwa njia ya mtandao?

    Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health). Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ikiwa ya chama kimoja anayepata faida ni Rais tu siyo chama!

    Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu How! Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka chochote hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mana wabunge wote wanakuwa waoga hususani hawa ambao wamepewa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuna yeyote anaeweza kunipa faida za kutokuoa au kutokuolewa ajitokeze

    Sisi waswahili tunasema uungwana ni vitendo na salamu kwa aliye mbali na wewe ni nusu ya kuonana. Nawasalimu kwa maamkizi yetu wote watoto na wavyele Anuani ya mada yangu iko wazi na yenye kueleweka. Mwenye kujua ajitokeze atupe faida za kutokuoa na kutokuolewa Ahsanteni sana.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipopeleka wabunge bungeni watapata faida kubwa sana

    CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni. Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha. Kwa sababu nchi wahisani nyingi zimeonyesha nia ya kulalamikia faulo zilizochezwa, tutegemee mbinyo...
  20. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo faida kuntu za kuwepo shetani na ibilisi duniani

    Shetani au ibilisi kama kweli yupo duniani na sio dhana tu ya wajanja wa dunia ili wapige hela basi atakuwa amebeba faida kuntu kuliko hasara zake. Moja ya faida kuntu za kuwepo shetani duniani ni kama ifuatavyo:- (i) KUSHUSHWA NA KUANDIKWA VITABU VITAKATIFU Mungu aliamua kushusha Quran na...
Back
Top Bottom