Nyama nyeupe ni ipi?
Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.
Nyama nyekundu ni ipi?
Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote...