fahamu

  1. tilmikha

    JamiiForums Tanzania Fahamu ingredients zilizopo ndani ya toothpaste kupitia color codes

    Wengi wetu tumekua watumiaji wazuri wa dawa za kusaidia kusafisha meno ila ni wachache mno ambao wanajua kilichomo ndani ya dawa hizo. Dawa za msuaki/meno huwa zina alama ya rangi mwishoni na wala hazijawekwa kwa bahati mbaya wala kwasababu ya kuipamba dawa husika. Zifuatazo ni rangi husika...
  2. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Ona hapa aina mbili mpya za wizi wa pikipiki ulioshamiri mijini

    Hapa Nchini kumekuwepo na wimbi kubwa la wizi wa pikipiki hasa pikipiki aina ya Boxer. Tena baada ya uzuka kwa ugonjwa wa Kirona, ndo hali imekuwa mbaya. Watu (bodaboda) wengi wamekuwa wakilizwa mara kwa mara. Kwa nini pikipiki aina za boxer ndo zimekuwa zikishambuliwa sana kuibiwa? Wengi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu utajiri wa kudumu uliojificha kwenye zao la Parachichi Mkoani Njombe

    Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine. Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fahamu kituo cha kupigia kura

    TAMBUA KITUO UTAKACHOPIGIA KURA 28 OKTOBA 2020 Kama tujuavyo mwezi huu wa Oktoba, tarehe 28 kuanzia saa 1:00 mpaka saa 10:00 jioni ni siku muhimu sana kwa Watanzania.Kwani watanzania watachagua viongozi wao wanaowataka ambao ni Rais,Mbunge na Diwani kupitia Uchaguzi Mkuu,ambao utafanyika kila...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'

    Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini. Kuna magonjwa ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji wa uboho ambayo ni Kifua Kikuu na ukosefu wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
  7. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu njia ya kupunguza uzito kwa kukata utumbo na madhara yake

    Njia hii kitaalamu inaitwa “Gastric bypass”. Ni aina ya upasuaji unaosaidia mwili kupungua kwa kubadilisha namna ambavyo tumbo na utumbo mdogo unashughulikia chakula. Upasuaji huu hulifanya tumbo kuwa dogo na kupelea tumbo kupokea kiasi kidogo cha chakula. Baada ya kukatwa na kupunguzwa kwa...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  9. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu sababu zinazolazimisha vituo vya habari kuomba kibali TCRA kuweza kurusha matangazo kutoka vituo vya nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza sababu tatu za kutaka vituo vya utangazaji nchini vinavyojiunga na vituo vingine vya kanda, nje ya nchi na raia wa kigeni kuwatembelea kupata kibali kabla ya kufanya hivyo. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kwenye gazeti hili jana, na Mkurugenzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  12. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

    Mate, Habari. Kwenye familia zetu kumekua na nadharia inayosema kua watoto ambao ni wa kwanza kuzaliwa hasa watoto wa kiume kwamba hua hawana Akili, ni mapepe,ni watundu na mara nyingi hua hawana mafanikio mazuri kiuchumi (pesa) na kijamii (familia). Ni kweli, Mara nyingi wazaliwa wa kwanza hua...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fahamu vyama 19 vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba

    Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama hivyo. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nafasi hizo ni za Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama...
  14. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu VPN

    VPN NI NINI? VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely. SAWA, SASA HII VPN TUNNEL INAFANYAJE KAZI? VPN tunneling inaunda point-to-point connection...
  15. Boeing 747

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

    Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa. Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi? 1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio, Honda Fit, Vitz new model: Wamiliki ya magari haya huwa waangaliku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao...
  16. Sabosojr

    JamiiForums Tanzania Fahamu Umuhimu wa kutangaza Biashara yako

    Na saboso JR Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora ya utoaji huduma na bidhaa kwa kiwango cha juu, kuajiri wa wafanyakazi wengi na kuwapatia mishahara...
  17. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utofauti wa Meli, Boti, Jahazi, Mashua, Mtumbwi na Ngalawa

    Vyombo vya majini (Watercraft) ni chombo chochote kinachotumika kufanya safari majini kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Mfano wa hivyo vyombo ni Meli, Boti, Nyambizi (Submarine) na Sea Planes (Ndege zinazoweza kuelea). Tuangalie utofauti wa vyombo hivi vya majini ambavyo vinafanya kazi kila...
  18. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.) Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho. Katika sehemu ya kwanza tuliangalia Tafsiri ya Anxiety...
  19. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Fahamu maua ya Rosela na faida zake

    Rosela ni ni maua yanaoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu MATUMIZI YA ROSELA NA FAIDA ZAKE KWA BINADAMU Maua ya rosella utengenezwa...
  20. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
Back
Top Bottom