Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,874
Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini.

Kuna magonjwa ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji wa uboho ambayo ni Kifua Kikuu na ukosefu wa virutubisho mwilini kama Vitamin B12 na 6, upungufu wa madini ya chuma ambayo yanasaidi katika uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu na mazingira hatarishi kama ya kuwa kwenye mionzi mikali.

Uboho husaidia kwenye uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu, chembechembe nyeupe na chembe sahani. Upungufu wa uzalishaji wa uboho ni tatizo kubwa.

Hadi sasa matibabu ya bone marrow yanafanyika nchini India kwa gharama isiyopungua $40,000 sawa na Tsh milioni 93.
 
Unaona wenzio hao.washauza zao
Sema akiamungu.!
Screenshot_20201001-150337.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom