Fahamu kuhusu VPN

Izzi

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
553
1,107
VPN NI NINI?

VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely.

SAWA, SASA HII VPN TUNNEL INAFANYAJE KAZI?

VPN tunneling inaunda point-to-point connection baina ya vifaa viwili, mara nyingi inakuwa ni VPN server na kifaa unachotumia wewe. Tunneling ina-encapsulate data zako kwa mfumo wa standard TCP/IP packets na unazisafirisha kwenye internet kwa usalama kabisa. Kwasababu data ziko encrypted, wadukuzi (hackers), serikali (governments), hata ISPs (Internet service providers) hawawezi kuona au kuzipata taarifa zako kipindi chote unachokuwa umeunganishwa kwenye VPN server.

OH OK. LAKINI KWANI VPN INA UMUHIMU GANI KWANGU?

1. Unataka kuwa 'private'?
Kama hutumii VPN, basi upo uchi. Yule anaekuwezesha kupata huduma ya internet (ISP) anaweza kuona internet traffic yako na huenda akawa ana kumbukumbu zako za vitu vyote unavyofanya mtandaoni.

2. Unachukia 'censorship'?
Ni mara ngapi umeingia kwenye website fulani au huduma fulani mtandaoni halafu ikakwambia - "This service is not available in your country". Hiyo ndo censorship sasa, na huwezi kuiondoa bila VPN.

3. Okoa pesa wewe!
Kuna baadhi ya online stores huwa zinatoza bei ya bidhaa kutokana na 'location'uliyopo. Yaani, kama upo Canada unapata punguzo la hadi 50% wakati kama upo Africa unauziwa kwa bei halisi na shipping costs juu! Ubaguzi wa namna hii huwezi kuushinda bila VPN.

4. Encrypt kila kitu.
Hackers sio watu wazuri, huwezi jua ni saa ngapi wanakuwinda hasa hasa kama wewe ni mzee wa kupenda Kitonga, a.k.a Public Wi-Fi. Wadukuzi wanaweza wakapita na taarifa zako nyeti. Sasa kabla hawajakushika pabaya, tumia kinga - VPN.

ANHAA SAWA. NA JE, VPN INA UTOFAUTI GANI NA PROXY?
Ukiwa connected kwenye PROXY SERVER, inakuwa ni kiunganishi kati ya kifaa unachotumia na internet. Traffic yako yote inapitishwa kwenye proxy server, na hivyo itaonekana kama imeanzia kwenye IP address ya proxy server. Proxy server inakuficha/ inaficha IP address yako na kukuruhusu ku-access maudhui yaliyozuiwa. Hata hivyo, proxy server hai-encrypt traffic yako, kwahiyo taarifa unazotuma na kupokea zinaweza kudakwa/ kuingiliwa na mtu yeyote hususani wadukuzi na ídentity thieves.

VPN inakupa kila ambacho unapata kwenye proxy servre lakini pia inalinda na kufanya encryption ya data kati ya kifaa unachotumia na internet, hivyo inakupa ujasiri wa kutumia mtandao pasipo hofu ya taarifa zako kuvuja.

proxy-vs-vpn.png

SAFI. NA VIPI KUHUSU FIREWALL, INATOFAUTIANAJE NA VPN?
Firewall ni kizuizi kinachochambua 'data packets' kutoka kwenye mtandao ambazo zinajaribu ku-connect na computer yako na kinaruhusu data packets zile ambazo zimekidhi vigezo ambavyo vimewekwa tu. Kutumia firewall ni njia nzuri ya kulinda kifaa unachotumia dhidi ya hatari mbalimbali kama vile virus attacks na worms. Hata hivyo, firewall inakulinda na traffic inayoingia kwenye kifaa unachotumia tu (Incoming traffic). Traffic inayotoka hailindwi na firewall, hapo ndipo unapohitaji VPN. Ukitumia vyote viwili inakuwa mwake mwake babaake.

firewall-and-vpn.png

AISEE! MALIZIA KWA KUTUELEZEA TOFAUTI YA VPN APP, VPN PLUGIN NA VPN BROWSER
VPN browsers au browser plugins zinalinda WEB BROWSER TRAFFIC tu!. Network traffic nyingine yote kutoka kwenye kifaa unachotumia inabaki uchi, wajuba wanaweza kuichungulia. VPN app yenyewe ndo inaweza ku-encrypt na kulinda 'network traffic' kutoka kwenye kifaa chako. Kwahiyo ukitaka uwe salama, usitumie Browser plugin peke yake, tumia app.

VPN.png

Bila shaka sasa unafahamu kuhusu VPN. Una swali lolote, wewe nitandike nalo hapa chini - na mimi ntakujibu mapema, na kwa kina kadiri ninavyoweza.

Mimi.. ninashukuru.
#virus
 
VPN zipi ni best, ila ziwe free pia. Kwa android os
Binafsi natumia HOXX VPN. Kuipata unaingia tu Play Store - unatafuta hilo jina utaipata.

Lakini zipo zingine ambazo ni nzuri na ni free. *Haziwezi kuwa best kwasababu ni free, sadly. Gharama ya kuendesha VPN ni kubwa, so kama ni best halafu ni free basi utakutana na utitiri wa ads (matangazo) ambayo yatakuwa yanaku-disturb kila sekunde. Here's my short list though;
*Na si lazima kwa mpangilio huu.

1. Hide.me
2. Speedify
3. Windscribe VPN
4. TunnelBear VPN
5. ProtonVPN
6. Hotspot Shield VPN
 
Mi natumia vpn kwa ajili ya ku access spotify sababu bongo haipo.
 
VPN NI NINI?

VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambavyo vinakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na securely.

SAWA, SASA HII VPN TUNNEL INAFANYAJE KAZI?

VPN tunneling inaunda point-to-point connection baina ya vifaa viwili, mara nyingi inakuwa ni VPN server na kifaa unachotumia wewe. Tunneling ina-encapsulate data zako kwa mfumo wa standard TCP/IP packets na unazisafirisha kwenye internet kwa usalama kabisa. Kwasababu data ziko encrypted, wadukuzi (hackers), serikali (governments), hata ISPs (Internet service providers) hawawezi kuona au kuzipata taarifa zako kipindi chote unachokuwa umeunganishwa kwenye VPN server.

OH OK. LAKINI KWANI VPN INA UMUHIMU GANI KWANGU?

1. Unataka kuwa 'private'?
Kama hutumii VPN, basi upo uchi. Yule anaekuwezesha kupata huduma ya internet (ISP) anaweza kuona internet traffic yako na huenda akawa ana kumbukumbu zako za vitu vyote unavyofanya mtandaoni.

2. Unachukia 'censorship'?
Ni mara ngapi umeingia kwenye website fulani au huduma fulani mtandaoni halafu ikakwambia - "This service is not available in your country". Hiyo ndo censorship sasa, na huwezi kuiondoa bila VPN.

3. Okoa pesa wewe!
Kuna baadhi ya online stores huwa zinatoza bei ya bidhaa kutokana na 'location'uliyopo. Yaani, kama upo Canada unapata punguzo la hadi 50% wakati kama upo Africa unauziwa kwa bei halisi na shipping costs juu! Ubaguzi wa namna hii huwezi kuushinda bila VPN.

4. Encrypt kila kitu.
Hackers sio watu wazuri, huwezi jua ni saa ngapi wanakuwinda hasa hasa kama wewe ni mzee wa kupenda Kitonga, a.k.a Public Wi-Fi. Wadukuzi wanaweza wakapita na taarifa zako nyeti. Sasa kabla hawajakushika pabaya, tumia kinga - VPN.

ANHAA SAWA. NA JE, VPN INA UTOFAUTI GANI NA PROXY?

Ukiwa connected kwenye PROXY SERVER, inakuwa ni kiunganishi kati ya kifaa unachotumia na internet. Traffic yako yote inapitishwa kwenye proxy server, na hivyo itaonekana kama imeanzia kwenye IP address ya proxy server. Proxy server inakuficha/ inaficha IP address yako na kukuruhusu ku-access maudhui yaliyozuiwa. Hata hivyo, proxy server hai-encrypt traffic yako, kwahiyo taarifa unazotuma na kupokea zinaweza kudakwa/ kuingiliwa na mtu yeyote hususani wadukuzi na ídentity thieves.

VPN inakupa kila ambacho unapata kwenye proxy servre lakini pia inalinda na kufanya encryption ya data kati ya kifaa unachotumia na internet, hivyo inakupa ujasiri wa kutumia mtandao pasipo hofu ya taarifa zako kuvuja.

View attachment 1516533
SAFI. NA VIPI KUHUSU FIREWALL, INATOFAUTIANAJE NA VPN?

Firewall ni kizuizi kinachochambua 'data packets' kutoka kwenye mtandao ambazo zinajaribu ku-connect na computer yako na kinaruhusu data packets zile ambazo zimekidhi vigezo ambavyo vimewekwa tu. Kutumia firewall ni njia nzuri ya kulinda kifaa unachotumia dhidi ya hatari mbalimbali kama vile virus attacks na worms. Hata hivyo, firewall inakulinda na traffic inayoingia kwenye kifaa unachotumia tu (Incoming traffic). Traffic inayotoka hailindwi na firewall, hapo ndipo unapohitaji VPN. Ukitumia vyote viwili inakuwa mwake mwake babaake.

View attachment 1516543

AISEE! MALIZIA KWA KUTUELEZEA TOFAUTI YA VPN APP, VPN PLUGIN NA VPN BROWSER.

VPN browsers au browser plugins zinalinda WEB BROWSER TRAFFIC tu!. Network traffic nyingine yote kutoka kwenye kifaa unachotumia inabaki uchi, wajuba wanaweza kuichungulia. VPN app yenyewe ndo inaweza ku-encrypt na kulinda 'network traffic' kutoka kwenye kifaa chako. Kwahiyo ukitaka uwe salama, usitumie Browser plugin peke yake, tumia app.

View attachment 1516558

Bila shaka sasa unafahamu kuhusu VPN. Una swali lolote, wewe nitandike nalo hapa chini - na mimi ntakujibu mapema, na kwa kina kadiri ninavyoweza.

Mimi.. ninashukuru.
#virus
Umemetiririka vizuri sana, na umeeleweka.
 
VPN Guru huwa natumia ila inaniambia nilipie, natumia ios , kama unaijua VPN ya kutumia kwenye simu ya IOS (IPHONE) ya FREE . Nipatie
 
Elimu nzuri.
Nataka kujua, nimesikia wakati wa korona maofisi mengi yamefanyia kazi nyumbani na wameweza kuaccess system za ofisini kwao wakiwa nyumbani kwao na kuonekana kama wako ofisini ili kazi ziendelee. Je ni vpn ndio imefanya kazi hapa na pia ili vpn ifanye kazi kuna kifaa au software ya kutumia?
 
Binafsi natumia HOXX VPN. Kuipata unaingia tu Play Store - unatafuta hilo jina utaipata.

Lakini zipo zingine ambazo ni nzuri na ni free. *Haziwezi kuwa best kwasababu ni free, sadly. Gharama ya kuendesha VPN ni kubwa, so kama ni best halafu ni free basi utakutana na utitiri wa ads (matangazo) ambayo yatakuwa yanaku-disturb kila sekunde. Here's my short list though;
*Na si lazima kwa mpangilio huu.

1. Hide.me
2. Speedify
3. Windscribe VPN
4. TunnelBear VPN
5. ProtonVPN
6. Hotspot Shield VPN
Nina luna kwenye simu yangu ila kiukweli iko kama pambo. Sijui hata inafanyaje kazi. Hii vpn kwenye simu inafanyaje kazi?
 
Unaitumia vpn kukusaidia kufanya shughuli gani? Unaitumia ktk simu au pc? Bado sijajua kiundani vpn ktk simu inanisaidia kufanya nini..
Matumizi ya VPN nimeyataja kwenye uzi mwanzoni kabisa. Lakini kwa faida yako, tunatumia VPN kwenye simu na kwenye PC kwa faida zifutazo:

1. Ku-bypass 'geographic restrictions' za websites mbalimbali au kustream audio na video. Yaani kuna baadhi ya websites/ huduma za mtandaoni huwezi kuzipata kwasababu tu upo katika nchi ambazo hazijawezeshwa kuipata huduma hiyo. VPN inakusaidia kubadilisha location yako ili uonekane upo kwenye nchi iliyoruhusiwa/ iliyowezeshwa kupata hiyo huduma.

Kwa mfano; Ukiwa katika nchi ya China, au Korea Kaskazini, au Syria huwezi ku-stream Netflix. Lakini ukiwa unatumia VPN unaweza kuangalia bila tatizo. Vivyo hivyo ukiwa nchini Tanzania kuna huduma huwezi kuzipata mpata utumie VPN. Na hii ndo sababu inayowafanya wengi watumie VPN.

2. Kujilinda dhidi ya hatari za kimtandao (Hasa unapotumia Public Wi-Fi). VPN inalinda data zako zisivuje kwenda kwa hackers, au serikali au watoaji wa huduma ya mtandao. Chukulia wewe ni mtangaza nia ya Ubunge jimbo X. Utajisikiaje siku ukiona picha zako za faragha ulizokuwa unamtumia mchepuko wako ziko kwenye page ya Mange Kimambi - Instagram, au ya Kigogo2014 - Twitter.

Kila mmoja ana mambo yake ya siri ya kuyaficha. Mengine ni mambo ya msingi kama taarifa za benki. Unapotumia mtandao bila VPN manaake wewe chcohote kinaweza kukukuta saa yoyote; aidha utadukuliwa, au data zako zitakuwa zinachukuliwa kwa faida ya wanaozichukua bila wewe kujua.

3. Kuficha utambulisho wako mtandaoni. Kuna wengine hatupendi kujulikana kwa vyovyote vile, kwasababu mishe zetu zinatupeleka maeneo mengi mtandaoni mpaka yale yasiyoruhusiwa kama vile Dark Web. Sasa huwezi kuingia hayo maeneo ukiwa hujavaa kininja, utapata matatizo. Kwahiyo, VPN ni muhimu kwa watu wasiojulikana.
 
VPN Guru huwa natumia ila inaniambia nilipie, natumia ios , kama unaijua VPN ya kutumia kwenye simu ya IOS (IPHONE) ya FREE . Nipatie
  1. Windscribe: Nzuri kwa streaming lakini haiwezi ku-bypass Netflix.
  2. Hotspot Shield: Iko vizuri kwa kazi zingine isipokuwa streaming.
  3. ProtonVPN: Iko vizuri kwa kila kitu, lakini haisapoti torrenting.
  4. Hide.me: Nzuri lakini hai-support torrenting pia.
*Si lazima kwa mpangilio huu.
 
Back
Top Bottom