Kwaujumla watumiaji wa barabara ya morogoro eneo kuanzia Chuo Kikuu cha Jordan mpaka oilcom kumekuwa na foleni kubwa sana inayofanya watumiaji wakifika hapo kupoteza muda mwingi sana.
Hakuna utaratibu mzuri uliowekwa ambao ungeruhusu magari yasiyo ya mizigo kupita kwa urahisi bila kero...
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
Waugwana habari za majukumu.
Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji ...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+
Ikulu ya...
Ofisi ya Waziri mkuu imeziagiza Jeshi la Magereza nchini na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),zinazotekeleza kwa pamoja mradi wa zaidi ya shilingi bilioni 75 wa kiwanda cha bidhaa za ngozi eneo la Karanga,Moshi,Mkoani Kilimanjaro,ambao umefikia asilimia 95 kuhakikisha...
Wanabodi,
Salaam,
Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask).
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa...
Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge.
Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka mi nikaweka hapo karibu vinywaji vitembee nicheki
https://www.operanewsapp.com/tz/en/share/detail?news_id=70f928da842b6242fda46a9898eb65fd&news_entry_id=32bb7f30200227en_tz&open_type=transcoded&request_id=RELATED_NEWS_6702ca75-024e-495d-91ba-90db839a964e&from=news
Hii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao...
Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira.
Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa.
Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja...
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Bwana Mark Lowcock amesema “wimbi moja la nzige waliozingira ukubwa wa kilometa moja , ambalo linajumuisha nzige milioni 40-milioni 80, wanaweza kula kwa siku moja chakula ambacho kinatosheleza kulisha watu 35000”...
Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema pembe ya Afrika ni eneo lililoathiriwa zaidi na uvamizi wa nzige wa jangwani kati ya maeneo matatu duniani yanayokabiliwa na janga hilo, mengine mawili yakiwa ni Uganda na Sudan Kusini.
Taarifa iliyotolewa jana na FAO inasema janga...
Katika ulimwengu kila mtu analo jukumu na nafasi yake.Kutambua nafasi yako kunaweza kukuwezesha kufikia mafanikio kwa muda sahihi na kufurahia maisha.Katika biashara na maendeleo huwa kuna aina mbalimbali za watu ambao hushiriki katika kupeleka gurudumu la maendeleo mbele.
Kuna kundi la...
Waungaji mkono wa makundi ya kijeshi nchini Iraq yanayoungwa mkono na Iran ambao walivamia maeneo ya viunga vya ubalozi wa Marekani na kurusha mawe katika maandamano ya siku mbili wameondoka jana(01.01.2020).
Hatua hiyo imewezekana baada ya Marekani kupeleka vikosi vya ziada na...
Tangu ahadi hii itolewa,nadhani sasa ni miezi tisa inakatika huku hakuna kinachoendelea kuhusu ujenzi wenyewe na kwa wale wanaotumia barabara ya Dar-es-Salaam kwenda Dodoma, watakuwa ni mashahidi wazuri kwani lile eneo lilliotengwa kwa ajli ya ujenzi wa uwanja huo liko tu na hamna...
Alisema,
1. Ukiona mtu anapenda kusalisali sana jua ana sifa zote za Unafiki na Uchawi uliotukuka.
2. Ukiona mtu anapenda kulitajataja jina la Mungu mara kwa mara jua ni Mnafiki na Mchawi
3. Ukiona mtu anapenda kujionyesha kuwa anasali sana jua ni Mnafiki na Mchawi
4. Ukiona mtu anajifanya...
KIWANJA KINAUZWA
KINANYUMBA NDOGO PEMBENI VYUMBA VIWILI
MAHALI
SOWETO MOSHI
UKUBWA
SQM10" 000
KINA DOCS ZOTE HALALI ZA WIZARA
BEI
MILIONI 65
CONT 0713458722/ 0688552275
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.