Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

Kaliro X

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
749
438
Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru.

Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani.

Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama ni standalone kibanda tu cha nje it's okay .

#NB: Kodi isiwe ya kuumiza, suala la usalama ni muhimu na isiwe sehemu yenye mgogoro

Uzi huu ni serious, kama huna chchote positive cha kuchangia, pita kushoto.
 
Tafuta dalali wa eneo unaolahitaji kufanya biashara hii mpe kazi atakupatia eneo murua kabisa.
 
Wewe umekaa maeneo ya keko hapo karbu miaka mi 3 umeshindwa kutafuta eneo lililo changamka na kufanya biashara? Elimu yako imekusaidia nin kama mpaka eneo lililo changamka utafutiwe?
 
Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru.

Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani.

Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama ni standalone kibanda tu cha nje it's okay .

#NB: Kodi isiwe ya kuumiza, suala la usalama ni muhimu na isiwe sehemu yenye mgogoro

Uzi huu ni serious, kama huna chchote positive cha kuchangia, pita kushoto.
Chief ulishapata?

Nina frem maeneo ya temeke vetenary
 
Back
Top Bottom