Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Posta ya Zamani umegeuzwa kuwa dampo la taka chafu

BVR 2015

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
228
412
Mamlaka ya jiji la Dar es Salaam wameshindwa kwa makusudi kulilinda eneo la Fukwe za Bahari, baada ya maeneo yake kugeuzwa kuwa madampo. Ufukwe wa kuanzia zinapopaki boti za zanzibar hadi kwenye kivuko cha kwenda kigamboni eneo lote limejaa malundo ya taka .

Ushauri wangu kwa jiji, wajitaidi kulisafisha ilo eneo,kwani ni eneo ambalo ni kama kioo, kwani wageni wote wanaokuja katika huu mji. Kila mgeni anae wasili katika huu mji lazima aende maeneo ya feri na posta ya zamani bahari.

JF1.jpg


JF2.jpg
 
Naona unaleta utani wewe na ukichelewa utaukuta uzi wako jukwaa la mapishi la sivyo weka picha
 
Harafu kunawale wapuuzi wanajiita maaskari wa jiji kazi Yao kukamata watu hata ukidondosha kitiketi cha dara dara siwapendi mbwa wale na popote ntakapomtambua nafikiri itabidi tuelewane shenziiii typ
 
Jamaa ananunua ndege kujenga madaraja na reli anashindwa kuokota taka
hivi unajua manispaa ya ilala wanakiherehere sana cha kuweka jiji safi kwa kuweka maaskari wa mażingira kariakoo posta na maeneo mengi ya manispaa hiyo lakin hizo takataka kama hawazioni
 
Back
Top Bottom