Natafuta mpimaji wa eneo la dhahabu

PLATO MAGELE

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
203
54
Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P

lease, it's so urgent!!
 
Checki na Tanzania geological survey. Wako Dodoma nyuma ya Dodoma hotel. Wanaweza kukupa Abc
 
Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P

lease, it's so urgent!!
Mcheki huyu jamaa atakusaidia
+250 788 636688 whatsapp
 
Back
Top Bottom