Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu wa Idodomya sijui wasemeje!!
Wahusika wa Idara ya Maji Mwanza si watolewe tu hakuna namna! au wadau mnawatetea?
Wahusika wa Idara ya Maji Mwanza si watolewe tu hakuna namna! au wadau mnawatetea?