Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
images (11).jpg


Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)?

Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser Arafat.

images (12).jpg


Officially the Arab Republic of Egypt is both (North) African and Middle Eastern. Its Sinai Peninsula acts as a land bridge in Southwest Asia. This makes Egypt a transcontinental country.

Egypt has 99,375,741 million people, making it one of Africa's most populous nations. Egypt, A Mediterranean Middle Eastern transcontinental country located in North Africa and West Asia.

Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na mzee Madiba.

images (13).jpg


It doesn't contradict each other. Egyptians consider themselves just…Egyptian. Nothing more nothing less. This Pan Africanism illusion only exists outside of Africa. African is just a geographical term.

Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Waziri mkuu wa Israel.

images (14).jpg


USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Misri ina ushawishi mkubwa huku Africa na hata mashariki ya kati.
 
Asee Misri kwa Sasa haiko na ushawishi wowote middle East! Misri ilikua zamani kabla ya mkataba wa amani na Israel 1978.
Kwa sasa Misri ni bendera fuata upepo isipokuwa kwa sera za Turkey na Libya ambapo hupinga akiwa nyumbani tu
 
Mkuu, lakini Misri na Uturuki wote ni washirika wa U.S.A pamoja na EU (NATO)? Kwanini sasa wanagombana wenyewe kwa wenyewe?
Kwanza kabisa Cha kukumbuka hapo ni kwamba hao no mbwa wa bwana mkubwa US. Licha ya hivyo so mwiko wao kugombana.. ni Kama ilivyo uhusiano wa turkey-france na Turkey-Greece...
Wote hawapendani but kwa kiasi kikubwa huitikia kauli kutoka Washington japo so Mara zote..
Turudi Misri imekuwa ikipinga expansionism ya mfano wa kinazi unaofanywa na Turkey Hasa lengo likiwa restoration the status of the Roman Empire! Na ukicheki Misri ni moja ya state za awali zilizounda Ottoman. Syria , Libya na Iraq tayari zishadondokea kw Turkey.. hivyo Basi Egypt anapambana na threat ya kuwa koloni la sultan Edogan na ndoto yake ya the great Ottoman Empire
 
Iko hivyo mkuu. But kidogo Wana mgogoro na turkey kuhusu Libya na Syria. Misri hawataki Turkey awepo Libya Wala syria
Kwa hiyo wewe ili nchi iwe na ushawishi ni lazima iwe na ubishi na ugomvi.
Kwa hali hii utakuwa unaishabikia Uturuki ambayo kila penye ugomvi inataka iwepo.
Ujerumani ina ushawishi, je inagombana na nani.
 
Back
Top Bottom