Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mkuranga, Juma Abeid, anasema kuna jumla ya wakazi zaidi ya laki mbili kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2012, ina kata 25, vijiji 125 na vitongoji 475, zao lao kuu la biashara ni korosho.
Pia, anataja mazao mengine wilayani ni pamoja na nanasi, mihogo, korosho...
Awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wetu Mhe.Dr John Pombe Magufuli kuna mambo mengi imefanikiwa lkn Leo ningependa kuangazia eneo moja nalo ni;
Kupunguza matukio ya ujambazi katika nchi yetu.
Kwa sasa ni nadra sana kusikia basi au gari fulani limetekwa na abilia kuporwa kila kitu...
Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.