eneo

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)? Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser...
  2. Prince Mujubu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

    Hiko cha kwenye msingi wa jiwe Chenye bamba 1129 Hicho ktkt ya hiyo duara Ukubwa sqm 611 Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji) Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini Price: 6 million (negotiable) Contact ; 0715354693 au 0759395908
  3. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo. Eneo lisiwe nje sana ya mjini Tafadhari tuwasiliane PM Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
  4. PLATO MAGELE

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpimaji wa eneo la dhahabu

    Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P lease, it's so urgent!!
  5. Kaliro X

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

    Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani. Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
  6. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna eneo la nyumba zinazozunguka Machinjioni Mwanza

    Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
  8. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kwa wauza maduka katika eneo unaloishi, ni bora ukaitika wakati unaendelea na shughuli zako

    Wale wote mnaomiliki maduka maeneo katika eneo hilo hilo la nyumbani. Ndio inaeleweka kuWa mnafanya shughuli nyingine za nyumbani na kuuza duka pindi pale mteja anapojitokeza. Kero ni pale mteja anakuja dukani kupata huduma unamsikia anaita hujibu chochote, mteja anaendelea kuita tu, halafu...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

    Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi. Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

    Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko . Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa Millionaire au Bilionea?. Usiuze Eneo Lako!. Total Kutengeneza Ma Milionea na Ma Bilionea 100 wa DODO!.

    Wanabodi, Hii ni story ya kweli kabisa, true story ya jinsi mtu wa kawaida sana, mwenye eneo tuu pembezoni mwa barabara linalofaa kujenga kituo cha mafuta, anavyoweza kugeuka millionaire au bilionea kupitia fursa ya DODO inayotolewa na kampuni ya mafuta ya Total, ambayo imepanga kutengeneza...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

    Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo. Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kupita bila Kupingwa ni Mbinu chafu za NEC Au kukubalika kwa CCM?

    Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala, Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila kupingwa nje ya Uzwazwa wa wanaoongozwa sehemu husika? Hakuna mtu sahihi au anayeweza kukubalika 100% kwa...
  14. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Posta ya Zamani umegeuzwa kuwa dampo la taka chafu

    Mamlaka ya jiji la Dar es Salaam wameshindwa kwa makusudi kulilinda eneo la Fukwe za Bahari, baada ya maeneo yake kugeuzwa kuwa madampo. Ufukwe wa kuanzia zinapopaki boti za zanzibar hadi kwenye kivuko cha kwenda kigamboni eneo lote limejaa malundo ya taka . Ushauri wangu kwa jiji, wajitaidi...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Ijue NGULELO -Arusha eneo linalosifika kwa makazi ya Wahalifu wastaafu

    Inasemekana kuwa kwa wale wakazi wazoefu wa Arusha wanaifahamu Ngulelo ambayo inakaribiana na kwa Mrefu. Haya maeneo yanasifika kuwa makazi ya majambazi au wahalifu baadhi yao wakiwa majambazi wastaafu. Hebu tuongezee sifa zaidi za eneo hili ndani ya Jiji la Arusha.
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya eneo la Tanzania hatarini kugeuka jangwa

    Zaidi ya asilimia 61 ya eneo la Tanzania inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa juhudi zaidi hazitachukuliwa kukabiliana na changamoto za uharibifu wa misitu ya asili unaotokana na ongeeko la shughuli za binadamu zisizo endelevu na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Wataalam wa...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Bw. Pompeo afanya ziara nchini Denmark bila kutaja suala la kununua eneo la Greenland

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amefanya ziara nchini Denmark ikiwa ni mwaka mmoja baada ya ziara yake kuahirishwa baada ya kauli ya Rais Donald Trump kuwa Marekani inataka kununua eneo la Greenland kutoka kwa Denmark kuzusha mvutano wa kidiplomasia. Ziara hii inafanyika...
  19. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo: Eneo la Makaburi ya Viongozi na Mashujaa ya Kitaifa Haliko Tayari Dodoma?

    Watanzania wenzangu poleni kwa msiba wa Mzee Mkapa. Tunapoendelea kuijenga Dodoma Kama Makao Makuu, ule mpango wa kuwa na eneo la Makaburi ya viongozi na Mashujaa wa Kitaifa ulifikia wapi? Sidhani Kama mfumo wa kuwazika Viongozi/Mashujaa kila mtu kijijini ni endelevu kwani watasahaulika na...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Rais kaonesha udhaifu kwenye eneo la uteuzi

    Sidhani kama Rais alikuwa hana 'info' zozote za wimbi la wateule wake kukimbilia kwenye vyeo vya kisiasa kipindi cha uchaguzi mkuu akajipanga mapema. Teuzi hizi za muda mfupi unamteua leo kesho kutwa unamtengua kwa sababu zozote zile ukiacha kifo, zinanipa wasiwasi kama ana washauri wazuri...
Back
Top Bottom