Utangulizi
Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi.
Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI.
Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
Unahisi nini kilitokea? Baba alijua?
The daughter of a Russian ultra-nationalist and ally of President Vladimir Putin who argued Russia should absorb Ukraine has been killed in a suspected car bomb attack.
Father and daughter had been attending a festival outside Moscow and Ms Dugin had decided...
Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya mambo sahihi na yasiyosahihi ili kuleta maendeleo katika jamaii husika kwa zingatia maadili ya mtu mmoja...
Elimu ni tendo la kupata maarifa, ujuzi na maadili anayorithishwa mtu au watu kutoka katika mazingira yanayo mzunguka, kutoka kizazi kimoja hadi kingine .Enzi za mkoloni nchini elimu dhumuni lake hasa kubwa ilikuwa ni kupandikiza mila na desturi za kimagharibi na kudidimiza mila na desturi za...
Utangulizi
Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
Maana halisi ya elimu
Elimu ni tendo la uzoefu wenye athari ya kujenga akili tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi,vile vile tunaweza kusema elimu ni mafunzo tunayopata kutoka kwa watu wengine ili kukuza maarifa yetu juu ya ulimwengu unaotuzunguka vile vile elimu hukuza fikra zetu maadili...
ELIMU YA AFYA YA MAKAZINI
Ni taaluma ya kisayansi inayoshughulikia uzuiaji WA magonjwa/ majeraha yanayo husiana na kazi.
-Afya ya kazini inahusisha kukuza na kudumisha kiwango cha juu zaidi cha afya ya kimwili na kiakili na ustawi wa kijamii wa wafanyakazi katika kazi zote.
KWANINI AFYA YA...
VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA
Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi
Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa...
Elimu ni nguzo muhimu inayohitajika katika kujenga maendeleo ya taifa lolote duiani. Halikadhalika kwa nchi yetu ya Tanzania, elimu ni msingi mkubwa unaohitajiwa.
Lakini kwa masikitiko makubwa, bado elimu inayotolea nchini mwetu haijaweza kuwa yenye tija toshelezi katika kuleta maendeleo...
Mada kuu: Elimu
Jina la mwandishi: Omary Frank
Manispaa: Morogoro Mjini
Mkoa: Morogoro
Mawasiliano: 0767408787
Email: hamadiomary07@gmail.com
KUHUSU MWANDISHI
Omary Frank ni Mwalimu, Mjasiriamali mdogo, Mkulima na mdau mkubwa wa maendeleo. Pia ni mwanzilishi wa mradi unaojulikana kama...
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA
Kwa miaka ya hivi karibuni utolewaji wa elimu nchini ya Tanzania umeimarika sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo serikali na taasisi binafsi zinapigania vyema katika namna ya kuboresha miundombinu ya kielimu ili kutoa elimu bora ambayo inaenda sambamba na na...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza.
zamani makabila...
Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu.
Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
Na WyEST, MOROGORO
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu.
Mhe. Kipanga ameyasema...
Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira
Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa Chini na Kati bado ni changamoto kwani idadi kubwa ya Shule bado hazina vifaa vya kufundishia...
Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia!
Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.