Na Kevin Lameck
Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana.
Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
Nini maana ya hedhi,
Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147.
Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022)
UTANGULIZI
Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022)
UTANGULIZI
Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
Elimu ni sekta muhimu sana katika nchi, hutazamwa pia kama ni sehemu inayozalisha wabeba maamuzi wenye taaluma mbalimbali na inapotokea kuonekana kuwa na changamoto, mapitio mapya yanayoweza kuchanganua mwenendo wa kielimu katika taifa.
Mataifa ambayo yanajitabanaisha kuwa na elimu bora...
RAFIKI ANAYEWEZA KUWA ADUI WA ELIMU YA MTOTO WAKO
Utangulizi
Mada hii inaangazia teknolojia na matumizi ya vifaa vya kielekroniki vinavyoweza kutumiwa na wanafunzi ama kufundishiwa au kujifunzia wao wenyewe. Teknolojia inazidi kuhitajika na kutumiwa angalau katika baadhi ya ngazi za kielimu...
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar.
TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi mbalimbali yakiwemo Baraza la Watoto Tanzania, viongozi wa dini...
MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI
Na Edson Joel
UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wengi hususani Vijana hivyo kupelekea wataalam wa afya duniani...
Unyanyasaji wa jinsia katika ngazi ya elimu ya juu, umekua ukijitokeza mara kwa mara hususani kwa wanafunzi wa jinsia ya kike, ingawa matukio haya pia hujitokeza hata kwa wanafunzi wa jinsia ya kiume. unyanyasaji huu hujitokeza kwa njia tofauti, unyanyasaji wa kijinsia huwaza kujitokeza kati ya...
Jana waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alitoa maelekezo kwa Lightness Shirima (22), mwanafunzi wa Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo - Dodoma kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuchukua kitambulisho chake kilicho zuiwa kutolewa kutokana na kushindwa kulipa deni la tsh 9M la...
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania
TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa?
Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
By Erick Mange
Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili?
Sipati majibu.. kuna...
FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
✍️Mwl. Modest Alphonce
(Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm)
Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
ELIMU ni ujuzi anaoupata mtu ili umsaidie katika kujikomboa katika mazingira yake,na ujuzi unaweza kupatikana katika mifumo miwili ,mfumo rasmi na mfumo usio rasmi.
Hapa nchini Tanzania pamoja na kwamba tuna aina hizi za mifumo ya elimu lakini Bado mfumo unaotumika Sana ni mfumo rasmi ambao...
Mkuu
Pole KWA majukumu
Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha!
Kuna kasoro nyingi kama hizi;-
1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini Tanzania imekuwa ikianzia kuanzia chini mpaka elimu ya juu, yaani shule za awali, shule za msingi, shule za...
Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa nadharia zaidi na sii kwa vitendo, ambapo akimaliza darasa la saba, na hata kidato cha nne, hawezi...
Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko.
Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.