Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Hii wizara ya elimu ina tatizo kubwa ambalo ninaliona katika mifumo yake na sidhani kama inatakiwa kuwa ya kienyeji namna hii.
Mimejaribu kupitia design yake na logo zake zilizopo katika website yao nimegundua kuna tatizo kubwa mno.
1.watu wake wa Tehama sijui waliokota wapi inaonekana ni weupe sana na wamewekwa kindugu ndugu au Ndo wakina elimu za kuunga unga kama ndalichako.Nimejaribu kupitia mfumo wao wa udahihiri waalimu mwaka huu nimejaribu nimegundua kuwa bado kina vilaza wako serikalini. Mfumo wao unaitwa, "tcm.moe.go.tz" ni hatari tupu utafikiri ni watoto walioamua kucheza katika design.
Kwwnye tangazo lao wanasema wafanyakazinwaliopo kazini wanatakiwa kuomba kwa kuambatanishwa barua ya ruhusa lakini vyote hivyo havipo, wenyewe wanachojali ni ile pesa yao ambayo unatakiwa ulipe. Pia sijajua kwanini wamelimiti miaka ya kusoma wkati mtu akiwa kazini anaweza kujiendeleza wakati wowote. Kwwnye muongozo wao machaguoa yako sita ila ukiingia kwenye mfumo unakuta machaguo matatu.
Mara ya kwanza udhaili ulikuwa ukifanyika Nacte sasa sijajua kwanini walihamisha kutoka nacte kuipeleka wizarani.
Wizara ya elimu ingebaki kusimamia sera ya elimu mengine yangebaki kwenye tasisi zilizoko chini yake.Nasikia mna mpango wa pia wanafunzi wanaotaka kujiunga chuo kikuuu maombi yawe yanapitia kwenu kwenye mifumo yenu ilioundwa ovyo ovyo nadhani wanafunzi wengi watakosa vyuo.
2.Nimesikia mnaanza kusahihisha mitiani kwa kompyuta ni jambo zuri ila kama nyinyi wenyewe mliopo wizarani tehama inawashinda itakuwaje kwa waalimu ambao hawajawahi kushika compyuta tangu wazaliwe serikali isichezee elimu za watoto wetu