elimu

  1. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  2. CK Allan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya Kutengeneza umoja wa kitaifa Bila migongano!

    UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

    Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
  5. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  6. Shahaa

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Juu Inavyogeuka Majonzi kwa Wahitimu

    Na Shafii Hamisi Athumani Safari ya elimu imekuwa ikianza kwa matumaini makubwa ya mwanafunzi kuanza shule kwa furaha na kuhitaji kufikia malengo makubwa hapo baadae akiungwa mkono na kila mtu kwenye jamii na taifa lake haswa familia kwa hali na mali inakuwa ni tegemeo kubwa, hii inatoa...
  7. Msanumbi

    JamiiForums Tanzania UBORA wa elimu na ajira

    Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati, Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma, Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  9. Tulip22

    JamiiForums Tanzania Elimu ya magonjwa ya mbwa (LEPTOSPIROSIS) 01

    Habari wa kuu, naomba kushea pamoja nanyi maarifa juu ya ugonjwa wa mbwa ambao hua haupewi kipaombele sana na wafugaji wengi. Lakini unaweza pelekea kupoteza maisha ya mbwa endapo hatua stahiki hazitachukuliwa. Aidha nitakua nikitumia jukwaa hili kushea nanyi taarifa mbali mbali zinazo husu...
  10. Jay3xclusive

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya Uyui-Tabora, Makinikeni hii sio sawa

    Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima. Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji "FCC" katika elimu

    Haiwezekani mtoto huyu anasoma mambo A na mtoto mwingine anasoma mambo B, alafu mwisho wa siku tunawapa wote mtihani mmoja na kusema huyu kawa wa kwanza na huyu wa mwisho. Kwanini tusiwe na comprehensive material moja ambayo kila mtoto ana access nayo na mitihani yote inatoka humo. Haiwezekani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Elimu nchini na matumizi ya Teknolojia

    Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi. Declaration of interest Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wito umetolewa kwa wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi kushirikiana na Serikali

    Na WyEST, ARUSHA Wito umetolewa kwa Viongozi wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi, kuendelea kushirikiana na Serikali katika kujenga shule kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum. Wito huo umetolewa Jijini Arusha na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  15. Daby

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  16. mfumbilwa

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu juu ya uwekezaji wa Bondi

    Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa. Asante.
  17. abdulazizi4172

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa na ndoto za Udaktari tukawa Walimu, tukutane hapa

    Wale PCB's waliokuwa na ndoto za MD halafu tukajikuta ni walimu tukutane hapa kujadili kilichotufelisha wenzetu wajifunze
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu

    Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu. Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili. "Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu" Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.
  19. Ggadafi

    JamiiForums Tanzania Tumia elimu yako kutengeneza mwenyewe

    Habari zenu wadau! Bila Shaka mko vizuri, poleni na majukumu ebana, nashangaa sana na sifurahi nimwonapo kijana msomi, tena aliyezaliwa kijijini akihangaika mijini na maisha ya kuungaunga na elimu yake kichwani.. unaanzajaje kuondoka kijijini sehemu ambako kuna fursa chungu nzima, et unaenda...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Fedha za Elimu Bure tangu Mei 2022 zimepotelewa wapi?

    Katika hali isiyo ya kawaida serikali ya Tanzania imeshindwa kugharamia elimu bure kama ccm ilivyohaidi wananchi. Inasikitisha fedha za kuendesha shule za sekondari na msingi nchi nzims tangu mwezi May 2022 hadi sasa hazijapokelewa fedha za uendeshaji na mitihani ya ndani imefutwa kwa...
Back
Top Bottom