Nimefuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti kuu ya Serikali 2023/2024. Hongera Mh. @mwigulunchemba na timu yako, ila nina jambo ambalo ningependa kupongeza na kushauri ili liboreshwe zaidi.
Ninapongeza hatua ya serikali kuondoa ada kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha 4 na kupangiwa na Serikali...
Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
Kongamano la 8 la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu limeanza leo jijini Dar es Salaam ambapo wito ukitolewa kwa wanataaluma kuongeza umakini kukabiliana na changamoto za teknolojia mpya.
Kupitia kongamano hilo lililoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), mada mbalimbali zimejadiliwa...
Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F
Naomba ushauri niende kozi ya Human Resource Management au nifanyaje maana nimepangiwa uko
Waandaaji wa mbio za Barabarani nchini Tanzania, wameaswa kuacha kutumia ne no “MARATHON” kwa kila mashindano wanazoanzisha, kwa kuwa zipo tofauti; Marathoni ni kilomita 42, wakati wanaoanzisha mbio za kilomita 21 pia wanaziita Marathon badala ya Nusu Marathoni (half marathon); kupitia ukurasa...
Utangulizi:
Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni muhimu kwa utawala bora, jukumu la uzalendo halipaswi kupuuzwa. Uzalendo, upendo na kujitolea kwa...
Wilaya ya Ludewa inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023.
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imepokea fedha hizo...
Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza.
Sio kwamba...
Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi.
Wote tunajua teknolojia inakua kwa kasi sana na kutokana na kasi hii ya teknolojia sekta nyingi zinakwenda kupitia...
Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
Habari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa.
Kwa wenyeji wa maeneo shule ilipo au wilaya ya Buchosa kwa ujumla wake naomba kupata ramani ya...
Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma.
Lengo la kikao hicho ni...
Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza kusababishwa na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, walimu wenye ujuzi mdogo, na mazingira ya...
Watanzania tuna matatizo sana. Unakuta mtu Hana utaalamu wowote naye anakuwa eti mchambuzi na mbishi kwelikweli.
Hivi kibinafsisha bandari nayo ni issue? Nini maana ya uwekezaji? Nini maana ya PPP?
Hivi mkiwa libandari mnaliangalia tu halina manifaa yoyote Ina maana Gani? Hivi mkiwa madini...
ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA
Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya kazi za shamba na nyumbani. Ijapokuwa watu wa kijiji hicho walikuwa na furaha, walikosa maarifa na...
Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.