elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

    Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua. Hata hivyo: Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, sisitiza umuhimu wa kutowabakiza watoto shule kipindi cha likizo

    Habari wanabodi, Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu pilikapilika za wanafunzi kusoma shuleni. Imekuwepo tabia ya baadhi ya shule kuwabakiza wanafunzi kipindi cha likizo kwa kigezo cha kuwaandaa na mitihani ya taifa. Kitendo hicho ni kinyume na sera pamoja na miongozo ya elimu inayomuhitaji...
  5. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai

    Wasalaam Wakuu. Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai. Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia. Natanguliza Shukrani. Cc Mshana Jr
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi ya kuwa na Elimu yenye mafanikio kwa nchi ya Tanzania

    Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na kujua nini kifanyike katika mazingira yanayokuzunguka. Ukiwa na ujuzi wa elimu mbalimbali hapa...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo - Achangia Mtaala Mpya wa Elimu

    MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema ni muhimu maarifa yapatikane kwa lugha ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Philip Mulugo asisitiza kiwepo Chombo huru Chenye Mamlaka ya kusimamia Elimu Tanzania

    Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe. Prof Adolf Mkenda "Awamu ya Sita toka tumepata Uhuru ukienda Vijijini tumepeleka fedha nyingi sana kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupiga Hatua za Mbele katika Elimu: Kuvunja Mipaka na Kuunda Kizazi cha Wanafunzi Wenye Ubunifu

    Utangulizi Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
  10. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu Bora na Uwajibikaji: Misingi ya Mafanikio ya Kesho

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya mfumo wa elimu. Hivi sasa, kuna haja ya kuweka mpangilio mzuri wa mawazo na kuchukua hatua thabiti...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Mkopo wa Elimu ya Juu kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya/familia masikini

    CHANGAMOTO ZA" MKOPO "WA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WANAOTOKA KATIKA KAYA/FAMILIA MASIKINI Makopo ya elimu ya juu ni chombo muhimu sana katika kusaidia wanafunzi wenye uwezo mdogo kifedha kupata elimu bora. Hata hivyo, wanafunzi wanaotokea katika familia masikini mara nyingi wanakabiliwa na...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto za Kufanikiwa katika Elimu na Maisha ya Kijamii nchini Tanzania: Ushauri na Hatua za Kukabiliana Nazo

    CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

    Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo. GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu. Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Sasa ni kawaida. Kila siku watoto wanakuja wanadai hela eti kuna mtihani. Kila siku kuna mtihani. Enough is enough.
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  17. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  18. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na Elimu

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa lolote. Kwa kuzingatia umuhimu huo, ni muhimu kuboresha utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya elimu ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata elimu bora na yenye thamani. Kutumia teknolojia ni mojawapo ya njia za kuboresha utawala bora na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanathamini madaraka kuliko elimu na ufahamu

    Watu wenye maarifa, elimu na ufahamu hawapewi kipaumbele sana hapa kwetu. Hawaheshimiwi, wala kuthaminiwa sana. Hii imekuwa moja wapo ya sababu za kurudisha maendeleo nyuma. Wapo watu waliojitolea maisha yao yote kwa ajili ya kuisaidia jamii, kwa mfano madakatari bingwa wanaotibu magonjwa ya...
Back
Top Bottom