elimu

  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kushinda vita ya elimu

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Mkamate sana ELIMU, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni UZIMA wako." (Mithali 4:13) Swali ni je! Unadhani Elimu uliyo nayo sasa ndiyo hii tuliyoambiwa tuikamate sana tusiiache iende zake na tuishike maana ni UZIMA wetu? SIFA ZA ELIMU YA MUNGU NA TOFAUTI KATI YA...
  2. Petro Masunga

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuhusu elimu ya Yoga

    Elimu ya yoga. Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika ufanyaji wake. yoga inafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu. Ukiachilia mbali chakula, yoga ni kitu...
  3. Joachim Samwel Mboya

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na Maendeleo

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa elimu. Walitaka kufanya mabadiliko fulani ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika nyanja ya Elimu

    Elimu ni sekta muhimu sana katika kukuza utawala bora na uwajibikaji nchini Tanzania. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo yanaweza kufanyika kwenye elimu ili kuchochea mabadiliko hayo. Hapa chini nitaorodhesha baadhi ya mabadiliko hayo: 1. Kuimarisha elimu ya uraia na maadili: Ni muhimu kuanza...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mbunge na Mwalimu nani anawajibika kuwa na Elimu ya Juu kwa maslahi mapana ya Taifa?

    1) Navyo ona wabunge wanapaswa kuwa angalau wameishia kidato cha sita na sio kusoma na kuandika huku wakipokea mamilioni ya pesa. 2) Mwalimu ambaye atapokea shilingi 300000 - 370,000 bado et unataka afanye mtihani ili aajiriwe kwakigezo cha kupandisha hadhi ya elimu kumbe mkitaka wajitume...
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu bila Lugha: Mtaala mpya haujatutoa kwenye mtumbwi wa Vibwengo

    Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muhtasari: Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha Mwaka 2023/24

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24 DODOMA MEI, 2023 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
  8. Nunias Mathayo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Tanzania iwe ni msingi bora wa kuimarisha maendeleo ya kiuchumi kisiasa na kijamii kupitia fursa mbalimbali

    ELIMU NI MSINGI BORA WA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZA KIJAMII ,KISIASA NA KIUCHUMI KUPITIA MFUMO WA ELIMU TANZANIA ELIMU ni maarifa yanayopatikana kwa njia ya kujifunza au kusikiliza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingne ili kuwa na uelewa juu ya jambo flani linalohusu jamii,uchumi na siasa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua elimu ya Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela

    Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na maarifa ni mali ya Umma. Kipaji na ujuzi ni mali binafsi

    Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye elimu Tanzania - ni nani anahusika?

    Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo. Wazazi na wananchi wa...
  12. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 TAKUKURU tumieni njia hizi kupambana na rushwa ya ngono katika Taasisi za Elimu ya Juu

    Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu. Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu Ndiyo Silaha Yenye Nguvu Zaidi Ambayo Unaweza Kutumia Kubadilisha Ulimwengu

    ELIMU NDIYO SILAHA YENYE NGUVU ZAIDI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KUBADILISHA ULIMWENGU Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Elimu imekuwa ikitajwa mara kwa mara kama silaha yenye nguvu zaidi ambayo mtu anaweza kutumia kubadilisha ulimwengu. Kichwa cha habari hiki kinaangazia umuhimu wa elimu...
  14. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

    Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four. Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

    Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Watu wanaosema tukajiajiri ni wale ambao tayari wana Vyeo na Nafasi Serikalini: Kujiajiri kunahitaji Elimu Kubwa Kuliko ya Kukaa Ofisini

    Utangulizi Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika Elimu kama Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Elimu ni moja ya nyanja muhimu katika maendeleo ya jamii. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu ambazo zimeathiri ubora wa elimu na kusababisha udhaifu katika utawala bora na uwajibikaji. Kwa kupitia mabadiliko katika elimu, tunaweza...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Julius Nyerere: “Maandishi ni chombo cha kueneza elimu na kuleta mabadiliko”

    JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO” Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika jamii. Kupitia maandishi, watu wanaweza kushiriki maarifa na ujuzi wao na wengine, na hivyo kuchangia...
  20. African Geek

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
Back
Top Bottom