elimu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

    1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi 2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe) Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo., Mmeruhusu haya?
  2. nipo online

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  3. Machilllo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi na utambuzi wa nafasi

    Katika Maisha tunajifunza kuwa, kila mtu haijalishi ni umri, rika, jinsia, ama uwezo alio nao huwa una msukumo katika kufanya jambo Fulani. Jambo hilo linaweza kuwa kwa ajili yake, ama kwa ajili ya jamaa wanao mzunguka. Kwa mfano tunapokuwa Watoto mara nyingi tunakuwa na akili ya kufanya vitu...
  4. Kabula Hamis

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya elimu katika kuchochea utawala bora na mabadiliko

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu. Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuleta mabadiliko katika mfumo wa elimu ili kuboresha ubora wa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu

    Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya elimu. Ubora wa elimu ulikuwa umeshuka sana. Walimu walikuwa hawana motisha na uwezo wa kufundisha. Wanafunzi walikuwa hawana vifaa na mazingira bora ya kujifunzia. Mitihani ilikuwa...
  6. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Suala la elimu na likizo za watoto

    Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao. Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  9. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanapikia kuni na mkaa kwasababu ya umasikini, sio kwamba hawana elimu ya mitungi ya gesi

    "Systemic problems requires systemic solutions" Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao. Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
  10. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Malengo ya Elimu ya Tanzania ni mawili, 1. Tunasoma ili tufaulu mitihani, 2. Tunasoma ili tuajiriwe. Njoo ubishe kwa hoja

    Habari! Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa . Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Elimu wilaya ya Ubungo hii ni aibu ifike mwisho

    Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama; 1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja. 2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock). 3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
  13. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwekezaji Kwenye Nafsi Yako: Elimu Na Utawala Bora Kama Kinga Dhidi Ya Hatari

    UWEKEZAJI KWENYE NAFSI YAKO: ELIMU NA UTAWALA BORA KAMA KINGA DHIDI YA HATARI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Karibu katika makala hii kuhusu "Uwekezaji kwenye Nafsi Yako: Elimu na Utawala Bora kama Kinga Dhidi ya Hatari". Jambo la muhimu zaidi ni uwekezaji kwenye nafsi yako. Hii inamaanisha...
  14. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri wa Elimu, toa tamko kuhusu wanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo

    Niende kwenye hoja moja kwa moja kesho shule zinafungwa kwa ajiri ya mapumziko ya kumaliza mhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023, wazazi tunaitaji watoto wetu likizo waje wapumzike hatuitaji sijui mtoto yupo darasa la mitihani hafungi shule hii kasumba imeshamiri sana na kimekuwa kichaka cha...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe: Elimu ya Diplomasia ya Uchumi Itolewe Kwenye Mabaraza ya Madiwani ili Iwafikie Wananchi

    MHE. CONDESTER SICHALWE - ELIMU YA DIPLOMASIA YA UCHUMI ITOLEWE KWENYE MABARAZA YA MADIWANI ILI IWAFIKIE WANANCHI "Diplomasia ya Uchumi ni kipaumbele cha Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Bajeti iliyopita nilichangia kuhusu vikwazo vya wafanyabiashara wanaoliendea soko la...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Elimu yaongoza tuhuma za Rushwa

    Sekta ya elimu yaongoza kutuhumiwa kuwa na malalamiko ya rushwa mkoani Mtwara kwa mujibu wa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, (Takukuru) mkoani hapa kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Machi, 2023. Mkuu wa Takukuru mkoani Mtwara, Enock Ngailo amesema...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko chanya katika Elimu

    Elimu ni sekta umuhimu ya kijamii katika kuchochea maendeleo ya ukuaji wa jamii ambapo inahusisha utoaji wa maarifa,ujuzi na mafunzo mbalimbali kuhusu maadili na stadi za maisha, sasa na utawala bora, ufundi na shughuli mbalimbali za kiuchumi Kama vile kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara kwa...
Back
Top Bottom