Elimu yetu inachezewa na Wizara ya Elimu

Uyui

Member
Nov 11, 2022
24
20
Mfumo wetu wa elimu hauko sawa na unachezewa sasa sijui kwa malengo gani, tuanze na usahhihisha wa mitihani kuna dosari nyingi huwa zinajitokeza na hazifanyiwi kazi.

Mfano matokeo ya form waliofanya mtihani mwaka jana yale yamechakachuliwa sasa sijui kwa lengo gani, hebu angalia zamani wanafunzi walikuwa wanaomba vyuo vya Ualimu kupitia NACTE, sasa Mkenda kaanzisha kablog kake ndio wanafunzi wanaomba ili apate hizo 10,000, hebu angalia interface yake utafikiri wizara bado iko zama za mawe.

Serikali irudishe utaratibu wa awali vijana wetu waombe kupitia NACTE.

MKENDA PESA ZA WIZARA ZINAKUTOSHA ACHA TAMAAAA.

Hebu ingia hapa uone kablogu kakanzisha ili kupiga pesa
TCM.moe
 

Attachments

  • Screenshot_20230305-070300.jpg
    Screenshot_20230305-070300.jpg
    50.9 KB · Views: 6
More than 65% ni under 30; tunahitaji kutawala forever!
 
Una hoja za msingi sana, Yani Sasa hivi mtu aliepata division one anatofautiana padogo sana uelewa na wa division four ya miaka hiyo, tatzo liko wapi??
 
Back
Top Bottom