Siku ya Wanawake Duniani: Vikwazo wanavyokumbana navyo Mitandaoni vipate ufumbuzi

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
624
934
Upatikanaji wa Intaneti pekee hautoshi kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Majukwaa ya Kidigitali.

Ni muhimu vikwazo wanavyokumbana navyo vipate ufumbuzi. Masuala ya Unyanyasaji wa Mtandaoni na Gharama kubwa ya Huduma ya Intaneti yanahitaji suluhisho

Ili Wanawake watumie Intaneti kikamilifu, ni muhimu.jpg

=====

As our daily lives become increasingly digitalized, gender gaps in digital access threaten to leave women and girls even further behind. Though efforts to close these gaps have led to improvements in the gender parity score, the absolute gap between men and women’s access has actually increased by 20 million since 2019.

Today, 63 per cent of women have access to the internet, compared to 69 per cent of men. And women are 12 per cent less likely to own a mobile phone, a figure virtually unchanged since before the pandemic.

These global averages don’t tell the whole story: race, age, disability, socioeconomic status and location all play a role in determining women’s digital access and use. Marginalized groups such as older women, rural women and women with disabilities face significantly greater barriers to connectivity.

In the least developed countries—where, despite mobile broadband signals covering 76 per cent of the population, only 25 per cent is connected—men are 52 per cent more likely to be within that online minority.

All of which makes clear that bridging access gaps will require more than just better digital infrastructure. Addressing factors like affordability, access to electricity, online privacy and safety, social norms and digital skills and literacy—all of which are mediated by gender—will be key to getting women meaningfully connected.

No one sector can do this alone: it will take collaboration between governments, businesses and civil society and women’s organizations, among others.

Explicitly working gender and intersectional perspectives into digital plans and policies can help catalyze this kind of cross-sector coordination—a crucial starting point, given that only half of national information and communications technology (ICT) policies or master plans make any reference to gender today.

Successful policy making will also require increased research on barriers to women’s digital access, as well as data collection on the efficacy of efforts to overcome them.

But knowing what works isn’t enough—governments need to invest in evidence-based programmes and initiatives. Subsidizing smartphones and laptops for women and girls and incentivizing the provision of low-cost data plans can go a long way in overcoming gendered access barriers.

This also applies to digital literacy programmes, which can help give women and girls the skills they need to lead, connect and successfully shape the digital space.

Source: UN Women
 
mngetuletea sababu zingine ila hizi za Mama Watoto wangu kua busy na smartphones na computers sijaielewa.

naona mmekazana tu wanawake wanawake na internet sijui lengo lenu na ndoa zetu ni nini hasa hata sijawaelewa.
 
Wabongo wana mambo ya ajabu sana mbona mnapenda kutetea vitu visivyo cover sehemu husika?tuanze kwa kuangalia ni idadi gani ya wanawake wanatumia intanet hapa nyumbani na je kuhusu elimu ya kawaida tu hii ya sekondari na primary serikali imefanya nini kuwakomboa wanawake ambao bado kundi kubwa halina msaada leo hii unakuja kuwaambia habari ya intanet hiyo kauli mbiu kuna baadhi ya kata huwezi hata kuita wanawake kuwaambia intanet kwa sababu hawajui lolote kuhusiana na hiyo habari kwa hyo ushauri wangu mngejikita kwenye mambo ya msingi mfano huduma za afya kwa kina mama wasiokua na msaada mfano wasimbe na wajane pia mabinti wanaopata ujauzito huku hawana wenza kwa hili la intanet ni ubaguzi kundi dogo sana la wanawake ndio lipo hapo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom