elimu

  1. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  3. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoanza biashara kwa uoga mpaka kufikia hapa nilipo, nilichogundua biashara haihitaji elimu nyingi ya darasani

    Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine. Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa...
  4. JamiiForums Tanzania Enyi wajuzi wa Sheria mtupe elimu katika hili

    Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje. Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye hasira kali wakampa kipigo tukajitahidi kuwazuia tukafanikiwa mwenyewe. Mwenyewe alipewa taarifa...
  5. JamiiForums Tanzania Makosa matano katika uvaaji wa Barakoa

    Kutokana na ushauri wa kuvaa barakoa kama njia mojawapo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya kirusi cha korona wengi wetu wanafanya makosa yafuatayo ya uvaaji wake. 1) Barakoa kufunika tu mdomo. Uwezekano wa kuambukizwa kupitia pua ni mkubwa ukivuta hewa yenye virusi. Hii ni pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Fifteen of the most important milestones on the road to modern medicine

    Fifteen of the most important milestones on the road to modern medicine . 1 Anaesthesia Revolutionised surgery. By the end of the 19th century, anaesthesia had become a symbol for the wider humanitarian movement. It remains the most vivid example of medicine's capacity to diminish human...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndo Hasara ya Mfumo Mbaya wa Elimu

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua Mifumo ya Elimu Afrika inarudisha maendeleo yako?

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  9. JamiiForums Tanzania Ili kuwalinda Watoto Sera ya Elimu yapaswa kuboreshwa

    Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana miaka mingi iliyobaki wao kuwepo kuliko mimi ambaye nakaribia ule wastani wa mtu kuishi duniani...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ishinikize vyuo vya Serikali vilipe madeni ya walimu wa part time katika kipindi hiki kigumu cha janga la COVID-19

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu mustakabali wa Elimu zama za COVID-19

    Habari. Chukua hatua, jikinge na maambukizi. Baadhi ya Maswali Magumu: 1. Mitihani ya kitaifa itafanyika lini? 2. Wa kujiunga na kidato cha tano wajiunge lini? 3. Wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu itakuwaje? ongezea hapo maswali mengineyo. Ufumbuzi: 1. Computerized educational...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

    Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali Pumzika mwalimu
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

    Umofia kwenu GTs. Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online. Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inatoa moshi mweupe mwingi kama wingu naomba msaada

    Tafadhali wataalamu na wazoefu wa jukwaaa letu pendwa 1.Gari yangu ilianza kutoa moshi mwingi kama wingu kubwa na ilikuwa inaonyesha engine check baada ya hapo nikabadilisha oil s40 na baada ya kuchange oil ikawa haitoi tens moshi kabisa na ile taa ya check engine ikazima Ila baada ya halo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    Mh Waziri wa Elimu na Serikali tunaomba muingilie kati hili linaloendelea katika hii shule ya Academic International School ya hapo Dsm kwani wanawalazimisha Wazazi kulipa Ada ya term nzima wakati huu ambao tupo kwenye janga la Corona, shule zote zimefungwa na haijulikani ni lini hali itarudi...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa kwa wamiliki wa stationary, shule, wanafunzi, waalimu na wadau wa elimu

    Habari wakuu, ni matumaini yangu mko vizuri. Leo nimewaletea fursa kwa wale wamiliki wa stationary, wamiliki wa shule au taasisi za kiellimu, wanafunzi kuanzia shule za msingi hadi kidato cha sita na hata wazazi pia wanaweza nufaika. Upatikanaji wa material ya kujisomea kwa wanafunzi umekuwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Serikali: Msiwaonee walimu haswa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata

    Halo wadau wa JF. Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona. Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la kunawa mikono elimu bado inahitajika

    Nianze kwa kuipongeza serikali na mamlaka husika kwa kutilia mkazo suala la kuweka vifaa vya kunawia mikono karibu katika maeneo yote ambayo watu wanaingia. Utekelezaji wa hili umekua mkubwa na kwa sasa maeneo mengi sana wameweka vifaa vya kunawia mikono. Kilichofanya niandike uzi huu, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…