Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu...